Uchaguzi US: 2020

Uchaguzi US: 2020

Angetumia vyombo vya dola kulazimisha (kuiba) ushindi kama pacha wake alivyofanya huko Tanzania!
Weka ushahidi, TL mwenyewe alisema uchaguzi ulikuwa huru na haki lakini alipoona ameshindwa akabadili gia angani .... .... Aibu!
 
Weka ushahidi, TL mwenyewe alisema uchaguzi ulikuwa huru na haki lakini alipoona ameshindwa akabadili gia angani .... .... Aibu!
Ndio maana nakushangaa kwa nini wenzako wote huku Tanzania wamesikitika Trump kushindwa na bado wanamtakia kila la heri katika madai yake lakini wewe Wacha1 unaonekana umepotea njia. You are either with the devil or you are not...huwezi kutaka huku na huko. Je ni kweli unaamini kutoka moyoni kuwa Magufuli angekuwa anagombea huko Marekani angeshinda? Unaruhusiwa kuwa mnafiki.
 
Ndio maana nakushangaa kwa nini wenzako wote huko Tanzania wamesikitika Trump kushindwa na bado wanamtakia kila la heri katika madai yake lakini wewe Wacha1 unaonekana umepotea njia. You are either with the devil or you are not...huwezi kutaka huku na huko. Je ni kweli unaamini kutoka moyoni kuwa Maufuli angekuwa anagombea Marekani angeshinda? Unaruhusiwa kuwa mnafiki.
How?
 
Kwamba angeweza kuvitumia vyombo vya dola kujihakikishia ushindi! Kwamba angeweza kuwakamata wapinzani wake na kuwasweka ndani! Kwamba angeweza kuwatisha wanaosimamia uchaguzi kuwachukulia hatua wakimtangaza mpinzani kashinda. Kwamba mikutano ya wapinzani ingeshambuliwa kwa mabomu n.k
 
''Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.'' Huyo huyo Lisu alipokwenda kupiga kura kwenye Jimbo lake alisema mambo shwari, lakini matokeo yalipotangazwa akaanza kulialia kama kasuku. JPM kashinda kihalali na ndio sababu Wananchi walimchagua na nchi ipo shwari. Kama unafuatilia michango yangu siku zote nimekuwa nikisema Tanzania ni baba lao labda kama ulikuwa hulifahamu hilo itabidi ulizingatie. Why? Tanzania single handily ndio taifa ambalo lilifanikisha utawala wote wa nchi za kusini mwa Afrika kuwa huru (majority). Tanzania kwa nchi za Europe, na USA pamoja na washiriki wakubwa Japan China, India etc ipo more strategically na ina position ya kipekee. Kama hulifahamu hilo kalagabaho!
 
1604778337200.png
Is this the moment he learned? Donald Trump was on his Trump National golf course in Sterling, Virginia, when the call was made, with a so-far unidentified foursome

1604778386927.png

In the rough: Donald Trump now faces a steep uphill path to successfully challenge tens of thousands of vote majorities in the states won by Joe Biden in court by December 8

1604778441063.png
 
Nakuapia kwamba kama ingekuwa ni Tanzania, Trump angeweza kupata ushindi hata wa asilimia 99% na hakuna mbunge wa upinzani angetangazwa kashinda na Biden angeiota tu Ikulu.
Kuna somo kubwa katika chaguzi zilizopigia hatua.
Rais Trump anajulikana kuharibu norms and tradition nyingi za US.
Trump amejaribu kuharibu institutions za Marekani katika kila eneo la nchi.

Kwa US, nchi iliyosimama katika institutions na si personality kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa kwa Richard Nixon n.k nguvu ya umma imetamalaki. Kwamba, US hakuna mkubwa zaidi ya nchi na taasisi zake

Tumeshuhudia raia asiye na kitu anaitwa kituo cha kupiga kura ili athibitishe utata wa kura yake ili ihesabiwe.
Tumeshuhudia wakuu wa vituo 'county' wakiwa na maamuzi ya mwisho ya kura zilizopigwa na ndio waliojibu maswali na kuwajibika pale palipokuwa na utata bila kutishwa na chama chochote au polisi n.k.

Tumeshuhudia mawakala na kuhesabu kura kwa uwazi kila upande ukitia saini matokeo hata kama ni watu 2

Tumeshuhudia wagombea wakiheshimu uhesabu wa kura.
Katika furstration ya juu Joe Biden alijizuia kujitangaza.

Ni tofauti na Trump aliyetaka kuufanya uchaguzi wa Marekani kama wa 'third word'' ambako hakuna haki, uwazi wala uhalali wa kinachofanyika.

Mathalani, kwanini kura ipigwe kituo X na watu 100 halafu matokeo yasubiri kura hiyo iende wilayani, mkoani hadi ngazi ya Taifa ili kuhesabiwa? Hilo linachagiza rigging kitu ambacho mataifa makubwa hayafanyi.

Kura inahesabiwa pale pale ilipopigwa na kutangazwa pale pale.

Katika uchaguzi wa Marekani, tumeona pande zote zikipewa haki sawa za kisheria.

Hivi sasa timu ya Trump inakwenda mahakamani na hiyo ni haki, si fadhila.

Mahakama itasimama na kueleza nini kifanyike na haki itendeke. Dhana kwamba kuna majaji wengi aliowateua ina limitation zake. Katika masuala yenye masilahi na Taifa hilo hali si kama alivyofikiri

Katika hatua za awali, Trump alikwenda mahakamani akitaka kusimamisha uhesabu wa kura za commonwealth-PA.
Mahakama ikasema kura zitakazosimamishwa kuhesabiwa ni zile zenye utata za eneo husika tu.

Trump na Republican walijaribu sana ' voter suppression' ili kuwatenga watu wa rangi kwa hoja moja kwamba majority ya Waamerika ni weupe.

Walichotaka ni watu wa rangi kusimama katika mistari wakiwa na vituo vichache na hivyo wengi kushindwa kupiga kura au vituo kufungwa kabla ya upigaji kura.Hii ndiyo sababu kubwa Trump hakutaka 'vote by mail''

Jaribio la kwanza lilikuwa kumweka Postmaster general na kumwagiza ahujumu usafirishaji wa masnduku.

Njia ilishindwa kwasababu mbili;
Kwanza kulikuwa na mbadala wa masanduku ya kutumbukiza kura
Pili kulikuwa na fursa ya kupiga kura za awali.

Muhimu zaidi, viongozi wa taasisi walisimama na kuzitetea taasisi za Kitaifa dhidi ya hujuma.

Kuna 'Trumpism' ambayo imeharibu Republican lakini sasa wengi watakuwa huru.
Tatizo linalowakabili watetezi wa Trump ni historia.
Mtu kama Seneta Rubio atalamba matapishi yake na Urais atausikia kama ilivyo kwa Lindsey Graham

Kwa waliofuatilia uchaguzi wa Marekani kuna mengi ya kujifunza.

Kwamba, Taifa hilo si kamilifu na bado lina mambo ya kurekebisha. Hata hivyo, uthabiti wa Taasisi za Marekani ni nguzo kubwa kuliko nguvu za majeshi yake.

Kwamba Demokrasi inalindwa na Taasisi na si vyombo vya dola vya US.

Kwamba nguvu ya umma ni kubwa kuliko mabomu, bunduki za kisasa na mitambo ya nyuklia ya Marekani.

Kwamba wananchi ndio wanaamua hatma ya nchi yao, taasisi zikilinda haki za wananchi na vyombo vya dola vikihakikisha haki za Wamarekani zinasimamiwa kwa mujibu wa sheria.

Wamarekani wanaiishi kauli ya Rais Lincoln
'' Government of the people, by the people , for the people''

Tusemezane
 
Kuna somo kubwa katika chaguzi zilizopigia hatua.
Rais Trump anajulikana kuharibu norms and tradition nyingi za US.
Trump amejaribu kuharibu institutions za Marekani katika kila eneo la nchi.

Kwa US, nchi iliyosimama katika institutions na si personality kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa kwa Richard Nixon n.k nguvu ya umma imetamalaki. Kwamba, US hakuna mkubwa zaidi ya nchi na taasisi zake

Tumeshuhudia raia asiye na kitu anaitwa kituo cha kupiga kura ili athibitishe utata wa kura yake ili ihesabiwe.
Tumeshuhudia wakuu wa vituo 'county' wakiwa na maamuzi ya mwisho ya kura zilizopigwa na ndio waliojibu maswali na kuwajibika pale palipokuwa na utata bila kutishwa na chama chochote au polisi n.k.

Tumeshuhudia mawaka na kuhesabu kura kwa uwazi kila upande ukitia saini matokeo hata kama ni watu 2

Tumeshuhudia wagombea wakiheshimu uhesabu wa kura.
Katika furstration ya juu Joe Biden alijizuia kujitangaza.

Ni tofauti na Trump aliyetaka kuufanya uchaguzi wa Marekani kama wa 'third word'' ambako hakuna haki, uwazi wala uhalali wa kinachofanyika.

Mathalani, kwanini kura ipigwe kituo X na watu 100 halafu matokeo yasubiri kura hiyo iende wilayani, mkoani hadi ngazi ya Taifa ili kuhesabiwa? Hilo linachagiza rigging kitu ambacho mataifa makubwa hayafanyi.

Kura inahesabiwa pale pale ilipopigwa na kutangazwa pale pale.

Katika uchaguzi wa Marekani, tumeona pande zote zikipewa haki sawa za kisheria.
Hivi sasa timu ya Trump inakwenda mahakamani na hiyo ni haki, si fadhila.

Mahakama itasimama na kueleza nini kifanyike na haki itendeke. Dhana kwamba kuna majaji wengi aliowateua ina limitation zake. Katika masuala yenye masilahi na Taifa hilo hali si kama alivyofikiri

Katika hatua za awali, Trump alikwenda mahakamani akitaka kusimamisha uhesabu wa kura za commonwealth PA.
Mahakama ikasema kura zitakazosimamishwa kuhesabiwa ni zile zenye utata za eneo husika tu.

Trump na Republican walijaribu sana ' voter suppression' ili kuwatenga watu wa rangi kwa hoja moja kwamba majority ya Waamerika ni weupe.

Walichotaka ni watu wa rangi kusimama katika mistari wakiwa na vituo vichache na hivyo wengi kushindwa kupiga kura au vituo kufungwa kabla ya upigaji kura.Hii ndiyo sababu kubwa Trump hakutaka 'vote by mail''

Jaribio la kwanza lilikuwa kumweka Postmaster general na kumwagiza ahujumu usafirishaji wa masnduku.

Njia ilishindwa kwasababu mbili, kwanza kulikuwa na mbadala wa masanduku ya kutumbukiza kura na pili kulikuwa na fursa ya kupiga kura za awali.

Muhimu zaidi, viongozi wa taasisi wakisimama na kuzitetea taasisi za Kitaifa dhidi ya hujuma.

Kuna 'Trumpism' ambayo imeharibu Republican lakini sasa wengi watakuwa huru. Tatizo linalowakabili watetezi wa Trump ni historia. Mtu kama Seneta Rubio atalamba matapishi yake na Urais atausikia kama ilivyo kwa Lindsey

Kwa waliofuatilia uchaguzi wa Marekani kuna mengi ya kujifunza.

Kwamba, Taifa hilo si kamalilifu na bado lina mambo ya kurekebisha. Hata hivyo, uthabiti wa Taasisi za Marekani ni nguzo kubwa kuliko nguvu za majeshi yake. Kwamba Demokrasi inalindwa na Taasisi na si vyombo vya dola vya US.

Kwamba nguvu ya umma ndiyo kubwa kuliko mabomu, bunduki za kisasa na mitambo ya nyuklia ya Marekani.

Kwamba wananchi ndio wanaoamua hatma ya nchi yao, taasisi zikilinda haki za wananchi na vyombo vya dola vikihakikisha haki za Wamarekani zinasimamiwa kwa mujibu wa sheria.

Wamarekani wanaiishi kauli ya Rais Lincoln
'' Government of the people, by the people , for the people''

Tusemezane
Ndio maana namshangaa mtu kama Wacha1...nashindwa kuelewa kwa nini anafurahia uchaguzi uliowezesha kuangushwa kwa Trump na hapo hapo akisifia uchafuzi tulioushuhudia nyumbani kwetu Tanzania. Watu kama Wacha1 nashindwa kabisa kujua kiwango cha uelewa wao kinasukumwa na nini...unafiki, ujinga, uoga au hila.
 
YANAYOJIRI US BAADA YA HITIMISHO LA D.J TRUMP

Tutaendelea na mjadala na kufuatilia yanayojiri katika viunga vya DC na kwingine kutoka Taifa kubwa

Kwasasa 'dish limeyumba hapa nyumbani kutokana na upepo mkali' '' hata hivyo tutaendelea kwa kadri

Masaa 5 baada ya TV mbali mbali kutangaza kufuatilia matokeo ya vituo, ilitegemewa Trump ange 'concede' na kumpigia simu Biden. Tunajua ame tweet kwamba anaelekea mahakamani

Kwenda mahakamani ni haki ya Trump na hapa ndipo tofauti na third world inapokuja.

Hata hivyo kuna kitu kisicho cha kawaida. Katika mazingira ya kawaida viongozi wa Mataifa wangekuwa na subra kuona mahakama itaamua nini! la hasha! Viongozi hawana subra kana kwamba walisubiri tangazo la Trump kushindwa kwa hamu. Viongozi wa UK, Germany, France, Canada, Australia n.k. tayari wameshatuma salamu za pongezi. Hili tu ni kama sukumio kwa Trump kwamba hata safari ya mahakamani haina maana!

The game is over mtaani wakisema 'game over' na kwamba Trump anafungasha miaka 4 tu ndani ya kasri jeupe

Kuna sehemu mbili za ushindi wa Biden. Kwanza, kasri jeupe (WH) litakuwa chini ya Dems.
Senate itakuwa chini ya GOP hadi pale Georgia itakaporudia uchaguzi mwezi January tarehe 5

Georgia itarudia uchaguzi kwasababu hakuna mgombea wa seneti aliyepata 50% kwa muda tunaongea na matokeo yanaweza kubaki kama yalivyo au akawepo atakayepata 50.

Advantage ndogo ya senate ni kuwa ikiwa Dems watafanikiwa kupata 50% basi VP to be Kamala atakuwa na kura ya uamuzi. Hayo yatajulikana mbele ya safari.

Kwa upande wa House, Dems wamepoteza viti 4 badala ya kuongeza. Hata hivyo Nancy Pelosi atakuwa Spika

Biden ataingia WH akiwa hana senate jambo ambalo halijatokea kwa miaka zaidi ya30.

Lakini pia katika bunge la pamoja '' state of Union' Biden atakuwa Rais wa kwanza kuwa na wanawake wawili mbele ya meza kuu, VP Kamala na Spika Pelosi . Hii itakuwa historia

Katika yanayojitokeza ni tuhuma kuwa extreme left wa Dems kama akina AOC na the Squad wamechangia kupoteza au kutoongeza viti kwa misimamo yao inayokwenda mbali na misingi ya Ubepari.

Kama mnakumbuka tulijadili kuhusu BLM na madai yao ya hovyo kama defund Police au kutokemea vurugu na uvunjaji na uharibifu wa mali. Haya mambo yameigharimu sana Dems na Joe lazima awe tayari kutakabili.

Maandamano ya amani ni haki lakini uharibifu si sehemu ya haki ya kuandamana.

The squad watampa Biden wakati mgumu kama hawatadhibitiwa, misimamo yao ina utata sana

Kwa upande wa Republican kuna mambo mawili. Kwanza, wigo wa watu weupe wamepungua kutoka ''75% hai 65 % ya wapiga kura'' hivyo, ile demography ya white inazidi kupungua jambo linalowagharimu sana sasa hivi.

GOP hasa Lincoln project wanamchukia Trump kwasababu hiyo, kwamba ana 'watenga watu wa rangi' na kufanya GOP ionekana kama chama cha wazungu wazee wasiojali.

Ushahidi wa GOP kupoteza demography ni pale Georgia, Arizona kuwa 'swing state'' huku Texas ikinyemelewa kwa mbali. Kwa maneno mengine mbele ya safari lazima GOP wafanye ajustment na kuwa inclusive

Hayo yatafuta lakini lililo mezani sasa hivi ni kuhusu Trump kurejea Trump Tower akiwa Rais wa kipindi kimoja.

Trump alijenga himaya yake kwa birtherism na kushambuliwa watu wa rangi, leo makundi hayo yametoa ''verdict''

Verdict inasomeka '' what goes around comes around''

Tusemezane
 
Ndio maana namshangaa mtu kama Wacha1...nashindwa kuelewa kwa nini anafurahia uchaguzi uliowezeshwa kuangushwa kwa Trump na hapo hapo akisifia uchafuzi tulioushuhudia nyumbani kwetu Tanzania. Watu kama Wacha1 nashindwa kabisa kujua kiwango cha uelewa wao kinasukumwa na nini...unafiki, ujinga, uoga au hila.
Sasa utaelewa vipi? Wewe unasukumwa na nini? Kwa mawazo yako au uelewa wako Tundu Lisu kuwadi wa mashoga kweli anaweza kuwaletea maendeleo Watanzania? Tundu Lisu kuwadi mkuu, kibaraka kweli anaweka rehani nchi yetu kwa sababu tu anataka kushika kuwa rais? Watanzania wote wawe watumwa kwenye nchi yao?

Mlevi wa Konyagi kila mwezi alikuwa anakomba pesa za ruzuku at least more than 330million ambayo ipo kisheria , vile vile kuwachangisha wabunge wa Chadema. Je, alifanya nini kikubwa kuwezesha Chadema kupata ofisi, kuwa na wanachama nchi nzima, kuwa na ofisi nchi nzima na kutetea maendeleo yao? Je, alifanya nini Bungeni yeye binafsi na wabunge wengine wa Chadema? Je, hiyo Demokrasia mnayo dai ipo nje ya Chadema tu na sio ndani ya Chadema? Mimi niwe mwoga? Uoga wa kipi? Upo hapa kwa sababu ya watu wachache ambao walikuwa front line kuwezesha huu utumbo ambao unaandika. Therefore do not even go there. Mmeshindwa uchaguzi kwa vitu ambavyo Watanzania wote wanaviona kwa macho sio kuambiwa. Mimi sio Bendera fuata upepo.
 
You are such a baby and an idiot! You don't even have any idea of what you are talking about, goodbye!
 
Wacha1

Sina uhakika kama tupo katika 'same page'' kuhusu hoja ya Mag3

Tunaongelea uchaguzi wa Marekani na jinsi ambavyo taasisi za nchi hiyo zilivyosimama imara katika kulinda masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yao.

Mfano, Trump kwa kutumia mamlaka yake alimteua mtu alichangisha pesa zake kuua shirika la Posta.
Kila state ina utaratibu wake wa uchaguzi na hivyo taratibu nyingine mbadala zilifuatwa.

Pamoja na hayo Mahakama kama Taasisi nyeti ililazimisha shirika la Post lihakikishe masanduku yanafika kwa wakati
Wakati huo huo postmaster general aliitwa na kamati ya Bunge chini ya kiapo na kuahidi kufanikisha uchaguzi

Rais Trump alitaka uchaguzi wa 'vote by mail'' ufutwe kabisa. Taasisi zikamwambia hiyo si kazi ya Rais
Juzi Jumatano , Rais Trump alikuwa na maongezi na Gavana wa Arizona na Georgia kuwashawishi. Walikataa

Hiyo ni mifano tu lakini uharibifu ni mkubwa sana hasa katika taasisi kama DOJ. Hata hvyo uimara wa Taasisi hizo bado upo licha ya uharibifu. Majuzi wakati Trump anashangilia Bus la Biden kuzingirwa na wahuni wake, FBI wamefungua uchunguzi bila kujali ukubwa wa Rais.

Miaka 4 iliyopita kulikuwa na maandamano ya kumpinga Trump.
Wote walioandamana waliambiwa hawana haki ya kumuondoa Trump, wasubiri miaka 4.
Miaka 4 baadaye wale wale walionyimwa haki sasa wanapewa haki ndiyo shamra shamra tunazoziona

Rais Trump alisema kulikuwa na 'fraud' katika kura za 2016 ndiyo maana Hillary alishinda kwa popular vote
Trump aliunda tume ambayo baada ya kuchunguza ilibaini hakuna tatizo na hivyo alishindwa kufanya lolote

Marekani kuna kamisheni ya uchaguzi, hata hivyo shughuli za uchaguzi zinaratibiwa katika ngazi za vitongoji ,miji, majiji n.k. kwa kufuata sheria za state husika.

Mfano, kuna state zina vote kwa mail tu hakuna kituo cha uchaguzi.

Kuna state zinaanza kuhesabu kura za posta kwanza, halafu za watu waliopiga na zingine ni kinyume

Ukifuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Marekani una matokeo makubwa matatu
Urais ni Biden
Senate itabaki kwa GOP
House itabaki kwa Dems

Chaguzi zote zimefanyika na kura kuhesabiwa kwa haki na uwazi ndiyo maana kuna tofauti hiyo.

Haya yanawezekana kwasababu uchaguzi wa Marekani si mali ya mtu au watu au kundi la watu.
Si mali ya GOP au Dems, ni mali ya wananchi. Hakuna mamlaka juu ya kura za watu.
Hatukuona mabomu, virungu au FBI wakibeba maboksi.

Hatukuona wagombea wakitiwa ndani ili kupisha hujuma zinazoratibiwa na vyombo vile vile vinavyopaswa kutoa haki na kusimamia haki.

Hoja hapa si personality, ni mifumo na kwamba wenzetu mifumo yao inaruhusu kujitawala kwa maana kwamba wananchi ndio wenye mamlaka.

Hii ni tofauti na nchi zinazoendelea ambako uchaguzi ni njia ya kujenga uhalali si mchakato wa kupata uhalali.

Hapa ni kuwa kwa nchi za kiafrika '' the end justifies the means''.
Kwa tulichokiona Marekani ni ''legitimacy derived from institutional procedure''

Ni kwa msingi huo Mag3 anasema kuna uchaguzi kama tulioona , halafu kuna vitu vingine vinavyofanana na uchaguzi yeye akiita uchafuzi
 
View attachment Rais mpya wa Marekani huyooo.mp4

Rais mteule akiingia uwanjani kuwashukuru wapiga kura kwa kumpa kura zaidi ya 74 milioni!

View attachment Rais mteule na makamu wake.mp4

Shamra shamra zikiendelea...Trump afungashe tu aondoke, asisubiri kutupiwa nje virago vyake.
 
Back
Top Bottom