Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.