Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Vp kamala kashinda huko?
 
Amka sasa ni asubuhi kumekucha ushangilie ushindi.
 
Mimi nimeona tangu mapema sana Kamala Harris akimuangusha Trump kirahisi kabisa. Kwanini? Agenda kubwa za Trump na Republican zimekufa ghafla baada ya Kamala Harris kuibuka.
Mnawachagulia wamarekani rais mnafikiri bongo hiyo!...yako wapi?
 
Wamarekani wameshadata wanachagua yeyote siku hizi.
 
I told you hashindii,now you know!
 
Mkuu Mag3 naona wanakutupia mawe. Wengi hawajui kuwa maono na maoni siyo lazima yawe sahihi muda wote. Anyway, huu uchaguzi ulikuwa na uchaguzi kati ya nyanya mbili mbovu, watu wamechagua iliyo nafuu. Democratic wameangushwa na Biden kung'ang'ania kugombea kwa mara ya pili. Angekuwa amejitoa na kuruhusu chaguzi za primaries ili kumpata mgombea wao, pengine wangeweza kushinda. Kamala wengi tubashiri atagalagazwa kwa sababu alikuwa connected na madhaifu yote ya utawala uliopita kwani ni makamu.
 
Ujio wa Kamala umekuwa kama ngumi ya ghafla kwa Trump na Republicans iliyowapeleka chini, hawakutegemea kabisa.

Baada ya lile shambulio la risasi Trump alionekana kuwa clear favourite, lakini ujio wa Kamala ghafla umemgeuza Trump kuwa clear loser.
Oooh kumbe ni loser!! Haaahaaaa
 
Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengi
Noma sana 🤣🤣
 
America so wapumbafu kama CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…