desmond JJ
Member
- Jul 6, 2012
- 55
- 27
Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi mbalimbali za Uchaguzi Mkoani Iringa.
SOURCE: Daily News Tanzania
kivipi yani?Yeye mwenyewe anajua hakuna uchaguzi ni maigizo tupu
Wewe hujui?kivipi yani?
Hakutakua na ugali mkuu fuso! Si wao wanamwaga mbogamboga, Sisi tumanwaga ugali? Au tunamwaga mbogamboga, tunaondoka na ugali!??CCM si wa kuamini hata kidogo, ni lazima wananchi tujipange kisawasawa!! wakileta ujinga - ni kumwaga mboga ili wote tuanze tulumangia!!