Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Kuanzia waanze kuzawadia wanaume viti maalumu kupita bila kupingwa hawa nawaangalia kwa jicho la tatu na la nneTume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi mbalimbali za Uchaguzi Mkoani Iringa.
SOURCE: Daily News Tanzania