Uchaguzi 2020 Uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi – NEC

Kuanzia waanze kuzawadia wanaume viti maalumu kupita bila kupingwa hawa nawaangalia kwa jicho la tatu na la nne
 
Hayo ni maneno tu, mtashuhudia jinsi kuapisha mawakala wa upinzani jinsi wakurugenzi watakavyofanya figisu...
 
Uchaguzi no Mchakato, ni aibu kwa boss was tume kidhani Uchuagizi unaanzia siku ya Kupiga Kura. Ilipaswa hadi Muda huu tuwe tumeshaona hiyo haki ikitendeka. Lakini hakuna kitu. Limahela limejiingiza had kwenye kupigia chapuo Chama chake. Aibu gani hii? Hii Tume ni Ovess (Hopeless) kabisa!
 


Engua engua alisaidia kujua kama uchaguzi hautakuwa huru na haki, na hayo mabomu ndiyo basi tena yanakoleza kwamba hautakuwa huru na haki. Swali fikirishi je mawakala wa upinzani mutawapisha kwa wakati na nakala zitakuwepo za kutosha
 

Huyu naye ni mpuuzi kama wapuuzi wengne. Engua engua ni haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…