UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

Hongereni Sana, Tunahitaji hoja zenye nguvu kutoka kwenu
 
Hakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Walikuwepo wengi sana sema tu wamefanyiwa mizengwe

Ikiwemo kuenguliwa kwenye mchujo-majina yao kukatwa mapema.....(Mwenyekiti huwa na orodha yake), na wale wanaobakizwa hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura wakati wa matokeo kura zao walizopata hupunguzwa na kuhamishiwa kwa wagombea wa mwenyekiti
 
Huyo Rehema,ni mchapakazi kwelikweli.Hongera kwao.
 
Huyo Rehema, ni mchapakazi kwelikweli. Hongera kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…