Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwepo wengi sana sema tu wamefanyiwa mizengweHakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Nani kasema haya Au unabwabwaja tu?Kumbe CCM wanachaguana Kwa DINI
Nani kasema haya Au unabwabwaja tu?
UDINI haukwepeki CCM MPYA ona UVCCM Daracha mambo ya Udini Bwana mdogo
Wewe ni dini gani?UDINI haukwepeki CCM MPYA ona UVCCM DarView attachment 2429391
Hapa vikao vitakuwa vinafanyika hata baada ya swala maana wote ni wa masjidUDINI haukwepeki CCM MPYA ona UVCCM DarView attachment 2429391
Hakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Tatizo liko wapi?Hapa vikao vitakuwa vinafanyika hata baada ya swala maana wote ni wa masjid