Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usimuangushe "msilamu" mwenzako.Wasilamu ni ndugu.Hawaangushani.Bakia hivyohivyo kukariri vifungu vya Mtakatifu Marko na Injili ya Yohana.πππππWalikuwepo wengi sana sema tu wamefanyiwa mizengwe
Ikiwemo kuenguliwa kwenye mchujo-majina yao kukatwa mapema.....(Mwenyekiti huwa na orodha yake), na wale wanaobakizwa hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura wakati wa matokeo kura zao walizopata hupunguzwa na kuhamishiwa kwa wagombea wa mwenyekiti
Ni udhaifu sana kujadili dini za watuUsimuangushe "msilamu" mwenzako.Wasilamu ni ndugu.Hawaangushani.Bakia hivyohivyo kukariri vifungu vya Mtakatifu Marko na Injili ya Yohana.πππππ
Kawaida amepata kura 523 akiwashinda Farid Mohammed Haji aliyepata kura 25, Kassim Haji Kassu kura 2 na Abdallah Ibrahim Natepe aliyepata kura 1.Kilimanjaro
Kutumia neno "udhaifu" ili kuhalalisha uharamia na ubaguzi napo ni kuyumba akili.Usijifiche kwenye dini ili uhalalishe kharamu.Ni udhaifu sana kujadili dini za watu
Hili huwezi kulisikia likisemwa Wala kukemewa mahali popote paleKumbe CCM wanachaguana Kwa DINI
Udini haukwepeki ccmUDINI haukwepeki CCM MPYA ona UVCCM DarView attachment 2429391
Asubuhi juzi na mapema. Alikuwa mwenyekiti wa wazazi Taifa.Mndolwa kapigwa chini?
Duh! Kweli yamejipanga ππAsubuhi juzi na mapema. Alikuwa mwenyekiti wa wazazi Taifa.
Leo anapigwa chini Mama kabaka UWT TAIFA
Tunaondoka na Bi Mary Chatanda Mwenyekiti UWT TAIFADuh! Kweli yamejipanga ππ
Sahihi kabisa, Tunahitaji hojaHongereni Sana, Tunahitaji hoja zenye nguvu kutoka kwenu
Mi nadhan waache waendelee kuifanye iwe official...wawe wanajazana hivi ili tuone ni kundi lipi wanafanya vizuri wakipewa dhamana, ili baadae huko mbeleni wapiga kura tuongeze sifa nyingine ya mgombea.....hahahahaHakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Kama dini yakoWewe ni dini gani?
Kuendekeza Udini ni Kuendekeza Ujinga,Kama dini yako