Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usimuangushe "msilamu" mwenzako.Wasilamu ni ndugu.Hawaangushani.Bakia hivyohivyo kukariri vifungu vya Mtakatifu Marko na Injili ya Yohana.😂😂😂😂😂Walikuwepo wengi sana sema tu wamefanyiwa mizengwe
Ikiwemo kuenguliwa kwenye mchujo-majina yao kukatwa mapema.....(Mwenyekiti huwa na orodha yake), na wale wanaobakizwa hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura wakati wa matokeo kura zao walizopata hupunguzwa na kuhamishiwa kwa wagombea wa mwenyekiti