UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

Walikuwepo wengi sana sema tu wamefanyiwa mizengwe

Ikiwemo kuenguliwa kwenye mchujo-majina yao kukatwa mapema.....(Mwenyekiti huwa na orodha yake), na wale wanaobakizwa hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura wakati wa matokeo kura zao walizopata hupunguzwa na kuhamishiwa kwa wagombea wa mwenyekiti
Usimuangushe "msilamu" mwenzako.Wasilamu ni ndugu.Hawaangushani.Bakia hivyohivyo kukariri vifungu vya Mtakatifu Marko na Injili ya Yohana.😂😂😂😂😂
 
Jf members ninaomba uelewa wa swali nililouliza hapo juu.
Kashifa nisingetarajia
 
Back
Top Bottom