Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mtanzania halisi?Mtanzania halisi hawezi kufikiria udini. #Jitafakari.[emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania halisi?Mtanzania halisi hawezi kufikiria udini. #Jitafakari.[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]Ukiniona kila asubuhi natoka chumbani kwa mama yako huku nimejifunga kitenge chake,utasubiri majirani wakuambie kuwa mimi ndiye baba yako!!???
Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vpHakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa kabaka mkristo
Wazazi nimemsahau jina pia mkristo
Mbona Mambo ya udini hayakusikika iweje leo muanze kupiga kelele
Udini,Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa kabaka mkristo
Wazazi nimemsahau jina pia mkristo
Mbona Mambo ya udini hayakusikika iweje leo muanze kupiga kelele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu uwiiiiihCcm ilizaliwa Butiama imehamia Unguja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiniona kila asubuhi natoka chumbani kwa mama yako huku nimejifunga kitenge chake,utasubiri majirani wakuambie kuwa mimi ndiye baba yako!!???
Mimi siyo mdini lakini this is suspicious.
Chadema wanaongoza kwa Udini Tanzania,Nimependa sana, sitegemei kuona au kusikìa tena zile kelele za CHADEMA ni chama cha kidini au kikanda.
Sahihi kabisa na anayezijadili ni Mshenzi piaTuache hoja za Udini ni Ushenzi
watu milion 1 wanakuja kututawala watu milion 60Wazenji wameamua kuichukua Bara....
Nchi hii ni mojawatu milion 1 wanakuja kututawala watu milion 60
Ajiandae KUCHOMOKA labda Abadili DINIKenani kihongosi kawekwa wapi?
ujinga mtupu watu milion 1 sawa na wilaya ya Kigamboni ndani yake wana Raisi, makamu wawili wa Raisi, mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wilaya, wakuu wa polisi mkoa, wilaya yaani basi hata mkoa wa Dar nao uwe nchiNchi hii ni moja
Kwani huyo M/Kiti kule Singida wao wako wangapi?ujinga mtupu watu milion 1 sawa na wilaya ya Kigamboni ndani yake wana Raisi, makamu wawili wa Raisi, mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wilaya, wakuu wa polisi mkoa, wilaya yaani basi hata mkoa wa Dar nao uwe nchi
Lijibiwe hili,Kwani huyo M/Kiti kule Singida wao wako wangapi?