UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

Hakukuwa na wakristo wenye sifa za kugombea?
Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa kabaka mkristo
Wazazi nimemsahau jina pia mkristo
Mbona Mambo ya udini hayakusikika iweje leo muanze kupiga kelele
 
Udini,

Udini,

Udini,

Sio jambo jema kuujadili,
 
Wapimwe kwa uwezo wao wa kazi na uadilifu wao

Chama kina miradi kibao ila kuna waliogawana hata Meza za kina mama wauza Unga na dagaa sokoni huku wakitoa 200 kila siku au zaidi na zinaenda mikononi mwa watu wachache

Acha tuone kama nao wataiba au watadhibiti
Bashiru alijaribu sana na kurudisha mali nyingi chamani

Tuache tuone watafanya nini
 
Ukiniona kila asubuhi natoka chumbani kwa mama yako huku nimejifunga kitenge chake,utasubiri majirani wakuambie kuwa mimi ndiye baba yako!!???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi hii ni moja
ujinga mtupu watu milion 1 sawa na wilaya ya Kigamboni ndani yake wana Raisi, makamu wawili wa Raisi, mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wilaya, wakuu wa polisi mkoa, wilaya yaani basi hata mkoa wa Dar nao uwe nchi
 
Kwani huyo M/Kiti kule Singida wao wako wangapi?
 
Back
Top Bottom