Uchaguzi wa 2020 umeweka wazi SIRI nzito iliyokuwa imejificha kati ya upinzani na wananchi

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
408
Reaction score
638
Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani.

Kwa ufupi mno ni kwamba tukilinganisha uchaguzi wa mwaka 2015 (ambao ndio uliowapatia upinzani ushindi mkubwa) na huu wa 2020 ambao umewatupa wapinzani wote nje ya siasa unatupa TASWIRA kwamba UPINZANI HALISI HAUPO KWENYE MIKONO YA KIKUNDI FLANI CHA WATU bali upo kwenye mikono salama na ya uhakika ya WENYE NCHI YAO yaani WANANCHI.
Mwaka 2015 serikali iliyokua inaachia madaraka wote tunakubali na kushuhudia kwamba ni serikali ambayo ilizamisha nchi katika shimo la umaskini na uzembe wa hali ya juu huku uchumi wa nchi ukididimia (mfano dola ilivyokuwa ikipanda kwa kasi) na hali ya sekta na mashirika ya serikali ilizorota kupita kiasi vumiliki, NA NDIO SABABU WANANCHI WAKAGHAFILIKA NA KUAMUA KUWATETEA WAPINZANI.

Tukiangazia uchaguzi huu wa 2020; ijapo kuna uonevu mkubwa kwa upinzani uliyofanyika kwa kuchukua ushindi wao kimabavu, sio kwamba wananchi hawajaweza kudai haki yao la hasha, bali kumetokea mridhiko flani uliosababishwa na matendo ya serikali ya awamo ya tano chini ya Ndugu John POMBE Magufuli. Mridhiko huu unaashiria dhahiri kwamba wananchi hawapo tayari kuchukua hatua yeyote dhidi ya kilichotokea kwakua mambo yao yanaenda. Yaani kama mtu anaedai deni, hatakua akidai sana kwa fujo kama bado ana hela ya kutimiza mahitaji yake yote ila ikatokea akaishiwa kabisa atadai kwa fujo na kwa njia yeyote ile, hivyo CCM na serikali yake yote isije ikadhani au kuingiwa na ujasiri kwamba imewashinda wananchi bali izidi kufanya kazi kwa bidii pamoja na kurahisisha maisha ya kila mtanzani na vile vile kuacha kuwaita watanzania ni maskini na wanyonge. Narudia tena Rasi Magufuli aache kuwaita watanzania ni maskini na wanyonge bali abadili maneno yake na aanze kuwanenea mema wanananchi wake.

Tukiangazia upande wa pili wa upinzani. Upinzani kwa maana ya chama chenye kuwa mwelekeo wa kuishinda ccm bado hakijakuwepo kwasababu ukitizama kiundani unaona kabisa vyama vyote vilivyopo bado vinaendeshwa kwa maslahi kundi flani la watu. Mfano CHADEMA ni chama cha muda mrefu ila viongozi wake wamebainika wazi wapo pale juu kwa maslahi yao wenyewe na ikitokea maslahi yao yameguswa basi ndio wanachachamaa na kuitaka huruma ya wananchi.

Ufunmbuzi kwa upinzani. Wapinzani wa kule huwa wanaunganisha nguvu inakuwa moja kisha wanapambana kufa kupona kufanikisha azimio lao. Sasa leo hii hata kama ukisema ACT, CUF na CHADEMA mmoja wao kachukua nchi nani atakae kubali kuungana na mwezake ingali tu hata kabla ya kuichukua nchi hawataki kuunganisha nguvu. Ni ubabaishaji tu na kupoteza muda tukisema TANZANIA kuna upinzania au demokrasia.

ONYO KWA CCM. Ccm isijione baunsa kwa wananchi bali ifanye kazi kwa bidii na uweledi ikiwaadhibu wananachama na viongozi wanaoleta mdhaaa katika kutekeleza adhima ya taifa letu ya kuleta maendeleo ya kweli. Ninaimani na Dr. Magufuli katika uwajibishaji na kusimamia nidhamu hivyo hata katika hili la kuwa na Tanzania ya kijani atafanikisha kuwasimamia vyema.

WITO: KWAKUA SASA SERIKALI INAENDA KUWA HURU NA KUJIFANYIA MAMBO ITAKAVYO ISIKUBALI KUFANYA URAFIKI WA KIUCHUMI NA NCHI YA CHINA. BORA MARA MIA TUKAUNGANA HATA NA SIRIA LAKINI SIO CHINA. CHINA NI NYOKA TENA KOBOKO KABISA. WOTE TUTAKUWA CHINI YA UKOLONI WA KICHINA KAMA AMBAVYO KWASASA MAKANDARASI WETU HAWAWEZI KUSHINDANA KATIKA ZABUNI ZA BARABARA. PLEASE PLEASE NA KUAGIZA RAISI MAGUFULI NILIKUPA KURA YANGU KAWE SANA MAKINI NA CHINA

Mwisho kabisa niwatakie ccm an serikali kwa ujumla katika kwenda kupitia sheria kandamizi na kuunda sheria mpya rafiki na huru kwa wananchi wa Tanzania ili waweze kuinua uchumi wa Taifa letu la Tanzania. Mfano wa sheria hizi ni kama vile sheria za kibiashara, kimtandao ambapo ndipo biashara imehamia, sheria za kutoa maoni binafsi na kuchangia mawazo pamoja na uhuru wa kujieleza n.k. NCHI INAHITAJI MABILLIONEA WAZAWA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO kwa sera zilizopo na zilikuwepo za ccm hazitaweza kuwapata hawa watu naombe kwa wingi wenu mkazibadilishe sera hizi hata kama hamtaachia nchi lakini kawekeni sera rafiki za kuwalinda matajiri na wawekeza kwani bila matajiri kuwepo maskini hawatawez kuisha kwamwe.
 
Attachments

  • antichina.jpg
    antichina.jpg
    47.4 KB · Views: 12
Vile vile CCM kwa ujumla ilitizame upya suala la kuwawezesha wazabuni wote wa ndani na kuwajengea uwezo kwa kutungua sheri rafiki na za kuwanufaisha wazawa sambamba na kuwawajibisha pale wanapoleta uzembe kwenye ujenzi wa uchumi
 
Tanzania haiwezi kujitegemea yenyewe bila misaada ya mataifa ya Ulaya, China Marekani na mataifa mengine yaliyoendelea. Kusema hayo hapa katika jukwaa ni kujitoa ufahamu sababu kila baada muda mchache utasikia,Tanzania yakopeshwa Mabilioni kutoka WB nk,
 
Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani.

Kwa ufupi mno ni kwamba tukilinganisha uchaguzi wa mwaka 2015 (ambao ndio uliowapatia upinzani ushindi mkubwa) na huu wa 2020 ambao umewatupa wapinzani wote nje ya siasa unatupa TASWIRA kwamba UPINZANI HALISI HAUPO KWENYE MIKONO YA KIKUNDI FLANI CHA WATU bali upo kwenye mikono salama na ya uhakika ya WENYE NCHI YAO yaani WANANCHI.
Mwaka 2015 serikali iliyokua inaachia madaraka wote tunakubali na kushuhudia kwamba ni serikali ambayo ilizamisha nchi katika shimo la umaskini na uzembe wa hali ya juu huku uchumi wa nchi ukididimia (mfano dola ilivyokuwa ikipanda kwa kasi) na hali ya sekta na mashirika ya serikali ilizorota kupita kiasi vumiliki, NA NDIO SABABU WANANCHI WAKAGHAFILIKA NA KUAMUA KUWATETEA WAPINZANI.

Tukiangazia uchaguzi huu wa 2020; ijapo kuna uonevu mkubwa kwa upinzani uliyofanyika kwa kuchukua ushindi wao kimabavu, sio kwamba wananchi hawajaweza kudai haki yao la hasha, bali kumetokea mridhiko flani uliosababishwa na matendo ya serikali ya awamo ya tano chini ya Ndugu John POMBE Magufuli. Mridhiko huu unaashiria dhahiri kwamba wananchi hawapo tayari kuchukua hatua yeyote dhidi ya kilichotokea kwakua mambo yao yanaenda. Yaani kama mtu anaedai deni, hatakua akidai sana kwa fujo kama bado ana hela ya kutimiza mahitaji yake yote ila ikatokea akaishiwa kabisa atadai kwa fujo na kwa njia yeyote ile, hivyo CCM na serikali yake yote isije ikadhani au kuingiwa na ujasiri kwamba imewashinda wananchi bali izidi kufanya kazi kwa bidii pamoja na kurahisisha maisha ya kila mtanzani na vile vile kuacha kuwaita watanzania ni maskini na wanyonge. Narudia tena Rasi Magufuli aache kuwaita watanzania ni maskini na wanyonge bali abadili maneno yake na aanze kuwanenea mema wanananchi wake.

Tukiangazia upande wa pili wa upinzani. Upinzani kwa maana ya chama chenye kuwa mwelekeo wa kuishinda ccm bado hakijakuwepo kwasababu ukitizama kiundani unaona kabisa vyama vyote vilivyopo bado vinaendeshwa kwa maslahi kundi flani la watu. Mfano CHADEMA ni chama cha muda mrefu ila viongozi wake wamebainika wazi wapo pale juu kwa maslahi yao wenyewe na ikitokea maslahi yao yameguswa basi ndio wanachachamaa na kuitaka huruma ya wananchi.

Ufunmbuzi kwa upinzani. Wapinzani wa kule huwa wanaunganisha nguvu inakuwa moja kisha wanapambana kufa kupona kufanikisha azimio lao. Sasa leo hii hata kama ukisema ACT, CUF na CHADEMA mmoja wao kachukua nchi nani atakae kubali kuungana na mwezake ingali tu hata kabla ya kuichukua nchi hawataki kuunganisha nguvu. Ni ubabaishaji tu na kupoteza muda tukisema TANZANIA kuna upinzania au demokrasia.

ONYO KWA CCM. Ccm isijione baunsa kwa wananchi bali ifanye kazi kwa bidii na uweledi ikiwaadhibu wananachama na viongozi wanaoleta mdhaaa katika kutekeleza adhima ya taifa letu ya kuleta maendeleo ya kweli. Ninaimani na Dr. Magufuli katika uwajibishaji na kusimamia nidhamu hivyo hata katika hili la kuwa na Tanzania ya kijani atafanikisha kuwasimamia vyema.

WITO: KWAKUA SASA SERIKALI INAENDA KUWA HURU NA KUJIFANYIA MAMBO ITAKAVYO ISIKUBALI KUFANYA URAFIKI WA KIUCHUMI NA NCHI YA CHINA. BORA MARA MIA TUKAUNGANA HATA NA SIRIA LAKINI SIO CHINA. CHINA NI NYOKA TENA KOBOKO KABISA. WOTE TUTAKUWA CHINI YA UKOLONI WA KICHINA KAMA AMBAVYO KWASASA MAKANDARASI WETU HAWAWEZI KUSHINDANA KATIKA ZABUNI ZA BARABARA. PLEASE PLEASE NA KUAGIZA RAISI MAGUFULI NILIKUPA KURA YANGU KAWE SANA MAKINI NA CHINA

Mwisho kabisa niwatakie ccm an serikali kwa ujumla katika kwenda kupitia sheria kandamizi na kuunda sheria mpya rafiki na huru kwa wananchi wa Tanzania ili waweze kuinua uchumi wa Taifa letu la Tanzania. Mfano wa sheria hizi ni kama vile sheria za kibiashara, kimtandao ambapo ndipo biashara imehamia, sheria za kutoa maoni binafsi na kuchangia mawazo pamoja na uhuru wa kujieleza n.k. NCHI INAHITAJI MABILLIONEA WAZAWA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO kwa sera zilizopo na zilikuwepo za ccm hazitaweza kuwapata hawa watu naombe kwa wingi wenu mkazibadilishe sera hizi hata kama hamtaachia nchi lakini kawekeni sera rafiki za kuwalinda matajiri na wawekeza kwani bila matajiri kuwepo maskini hawatawez kuisha kwamwe.
Ni ujinga kuongelea upinzani wakati uchaguzi ulikuwa wa ma DSO wa usalama na kura zimeibiwa kwenye video kila kitu kipo. Tanzania tumekuwa nchi ya wanafiki 😂
 
Chadema imekufa kifo cha mende haiwezi kuinuka tena ,
Hakuna Tena kisingizio Cha Maendeleo kucheleweshwa.Sasa hivi mchawi halisi wa Maendeleo yetu atajulikana Kama Ni CCM au walikuwa Upinzani.Tanzania kuwa Kama Ulaya
 
Porojo tupu.
 
Tuwashieni mitandao ya kijamii tuendelee na biashara zetu...mambo ya uchaguzi si tayari yameshapita
 
Unaumwa na kupulizwa kijambio
 
Check hilijinga....linaongea kana kwamba uchaguzi ulikua halali?

Group of porch monkeys...

Peleka propaganda matakor hizi Lumumba kule....

Wahed nyie
Kwa maandishi yako wewe ni kati ya wenye uchungu na kilichotokea katika uchaguzi wa tare 28/10/2020 na upo upande wa upanzania au uanaharakati wa kudai uhuru wa kujieleza kutoa maoni binafsi. Lakini kwa uandishi wako wa kimatusi unakinzana na madai pamoja na msimamo wa wanaharakati wengi. Kubali au pinga hoja kwa hoja.
 
Dhuluma nahaki havifungamani, chagua upande mmoja ili ujukikane upande wako.
Sina upande niano fungamana nao bali najaribu kuwa mtazamaji au observer kwamaana ya kuwa mtu kiti cmm<wananchi>upinzani. Sio lazima wote tuwe na chuki au mapenzi na upande flani. Wapo ambao tupo katikati kuibua hoja za kizalendo kwani hata wewe uliepo upinzania ukijichunguza sana utagundua bado sio sehemu sahihi maana hata wao wakipata nafasi ya kutawala bado watatumia principle zile zile za utawala
 
Kesho hatumsikilizi mtu yeyote yule. Siyo Siro ama Liberatus. Tuko serious.
 
Kwa niaba yetu mtuwakirishe kwenye hayo maandamano yasiyo na kikomo.
Ushauri wangu vaeni Vikinga ugoko na kofia ngumu za kichwa.
 
Kwa maandishi yako wewe ni kati ya wenye uchungu na kilichotokea katika uchaguzi wa tare 28/10/2020 na upo upande wa upanzania au uanaharakati wa kudai uhuru wa kujieleza kutoa maoni binafsi. Lakini kwa uandishi wako wa kimatusi unakinzana na madai pamoja na msimamo wa wanaharakati wengi. Kubali au pinga hoja kwa hoja.
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Back
Top Bottom