Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA moto, Vigogo wanyukana bila huruma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale Jamaa.

Naomba nifichue siri kwamba niliombwa kugombea Mkoa wa Mbeya, lakini nikaona kwamba kwa sasa ni vema nikachukua Ubunge kwanza ili kusaidia watu wote badala ya uongozi wa Chama.

 
Tsk

Mabilionea Vs Wanaharakati

Wataanza kutekana mda sio mrefu. Na tunajua.....
 
Hayo hayapo Chadema , mpe pole Mangula , hivi yupo kweli ?

Wa zamani tulivisoma humu visa vya vichupa vya sumu na majungu
Jikumbushe:

 
Unamuamini Kitilla Mkumbo na Mwigamba ?
 
Wako taabani!
 
Chadema hakina watu wapya sura zilezile zinarudia kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…