Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA moto, Vigogo wanyukana bila huruma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama hakina miiko!!
 
Naomba nifichue siri kwamba niliombwa kugombea Mkoa wa Mbeya, lakini nikaona kwamba kwa sasa ni vema nikachukua Ubunge kwanza ili kusaidia watu wote badala ya uongozi wa Chama.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kazi ipo
 
Chad
Chadema inakamilisha safu ya wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…