Uchaguzi wa CHADEMA Taifa: Hawa hapa wapiga kura na wamaliza utata siku ya uchaguzi

Huko unguja TAL ana kura kweliπŸ˜‚
 
Unashangaa? Hapo ndio ujue kuwa huku Chadema sio CCM wanakosubiri uwe Rais basi wawakusanye wajumbe wa mkutano mkuu kisha wavunge uchaguzi kisha wanakutangaza mwenyekiti wa chama kwa kura πŸ’― %.
Maigizo matupu!
Na ccm safari hii lazima kuna kitu watajifunza kutoka Chadema.
 
Na ccm safari hii lazima kuna kitu watajifunza kutoka Chadema.
Wamejifunza kuwa ,wanabaka demokrasia,kwa kudalalia nafasi za juu za chama,badala ya wanachama kugombea na kupigiwa kura
 
Huu uchaguzi unaweza kuwa na nguvu kubwa kuliko uchaguzi Mkuu wa October 2025 πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…