Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa.
1. Yericko Nyerere. huyu jamaa binafsi nilikuwa mfuasi wake wa kutupwa ni kama wale waumini wa mtumishi mwamposa nilikuwa naona ni kijana mwenye Iq kubwa sana kuanzia vitabu anavyoandika hususani Ujasusi wa kiuchumi na kidola lkn huku CHADEMA kipindi ambacho tubahitaji mabadiliko kuendana na wakati ila yeye amekuwa chawa wa mbowe Kwa lugha nyepesi Ina maana Yuko radhi mbowe kifo ndio kimuondoe kwenye madaraka ya uenyekuti sasa Kwa mantiki hiyo hata vile vitabu vyake ni kama anaandika tu kibiashara ila yeye hayupo huko.
2. Bon Yani. boneface Jacob huyu jamaa amepambana na kashkash nyingi sana kukipambania Chama sasa Leo unapokuja tena kumsuport mbowe aendelee kuwa mwenyekiti hata wapigaji kura wake wanakosa Imani nae wengi watahisi ni mtu asiye na mwerekeo CHADEMA inahitaji akili mpya mbowe alipofika tunashukuru maana Hana jipya tena tubahitaji nguvu mpya.
3. SUGU.huyu jamaa mimi ni mwanachadema lkn nimeanza kumkataa kwanza sio mtu anaweza kuleta hoja au kumchallange maendeleo kipindi kama hiki hata kumkosoa mbowe anaogopa hata bungeni mara nyingi umaarifu wake huwa ni ule wa kurushisna mateke lkn sio kujenga hoja binafsi mimi ni CHADEMA lkn kama ningekuwa mbeya ningempa TULIA kura yangu sina chuki nae ila tunataka watu majasiri kama LEMA.MNYIKA nk kipindi kama hiki unampima mtu uwezo wa kumchallange hata bosi wako sio kuwa chawa.
nb Hao ni baadhi ya wanasiasa naona wanaweza kupoteza hadhi Yao Kwa wapga kura wao ieleweke hii mada haijawekwa kumshusha hadhi mbowe hapana mbowe hata asipopita uenyekiti lkn Bado atabaki kuwa na heshima kubwa CHADEMA nimeandika hii thread kuepusha baadhi ya watu wanakumbatia madaraka mithili ya M7.