Uchaguzi wa CHADEMA ukiisha, baadhi ya watu heshima zao zitashuka

Uchaguzi wa CHADEMA ukiisha, baadhi ya watu heshima zao zitashuka

Sikusikia Bon na Sugu wakiongea pumba na kashfa kwa Lisu.

Kuwa na upande siyo issue kwenye demokrasia,watu wana maisha yao nje ya siasa.

Huyo pimbi hapo juu hajielewi.
Ni sahihi na ni kitu cha kawaida. Kiukweli dogo alijitoa ufahamu.
 
Kwa Yericko ni Kweli! By the way Mtu asiyeheshimu hata Uwepo wa Mungu ni matatizo sana.

Kwa Boni Yai na Sugu Hawakuonyesha Kutukana, Kubagaza, Kushambulia kwa Matusi.

Si Dhambi Kuwa na Msimamo Tofauti na Wengine, Kikubwa ni Kusimamia Msimamo wako Pasipo Kuwabagaza Wengine.
 
Hapo ulipoanza kusema wewe ni mfuasi wa Yericko inatosha kukuweka kwenye kundi la watu wasio na akili.

Au ulidhani ni mtoto wa Nyerere?
Jasusi pori
1000021097.jpg
 
Back
Top Bottom