Uchaguzi wa CHADEMA ukiisha, baadhi ya watu heshima zao zitashuka

Sikusikia Bon na Sugu wakiongea pumba na kashfa kwa Lisu.

Kuwa na upande siyo issue kwenye demokrasia,watu wana maisha yao nje ya siasa.

Huyo pimbi hapo juu hajielewi.
Ni sahihi na ni kitu cha kawaida. Kiukweli dogo alijitoa ufahamu.
 
Kwa Yericko ni Kweli! By the way Mtu asiyeheshimu hata Uwepo wa Mungu ni matatizo sana.

Kwa Boni Yai na Sugu Hawakuonyesha Kutukana, Kubagaza, Kushambulia kwa Matusi.

Si Dhambi Kuwa na Msimamo Tofauti na Wengine, Kikubwa ni Kusimamia Msimamo wako Pasipo Kuwabagaza Wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…