Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
 
Acha propaganda kama za CCM mbona huo upepo hatuuoni elezee zaidi huo upepo uko je?
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
Hebu soma ulichoandika Kisha ujitathimini. Kwa kifupi Huna Akili
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
Tulimwambia
 
Tumia hata AI bhc kufikiria mkuu. ni hivi mambo yako palepale sema kuna matukio ya dodoma, mechi ya utopolo ndo yamejaa kwenye vyanzo vyako vya habari ucmfariji FAM mbele ya FIAT. tukirudi patakuwa vilevile tu mkuu. au nkwambie conclusion kiuhalisia mbowe hamshindi lissu labd zitumike mbinu za sisiem.over
 
Lisu na waropokaji wenzake wameanza kugeukana... Niliwaambia hakuna wa kumshinda Mbowe... Hao wanaosema wapo pamoja na lisu deep in side ni wapiga kura wa Mbowe...
Kura zitapigwa na lisu ataishia kuropoka hovyo kwamba kaibiwa kura...
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
Itakuwa asali umeongezea kwa wajumbe
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.

Ggy5oBuWsAIjwyO.jpeg
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
Lissu ni mhuni anachukua wenyeviti wawili wa mikoa halafu anawavalisha uniform za CDM wahuni wa Mburahati anadai ni Wenyeviti wa mikoa 25 !.
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
mbona unaandika kinyume? Ni mbowe ndio anaenda kuangukia pua. Trend ya Lissu huioni?
 
Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa siku hizi mbili naona kama Lissu anaenda kuangukia pua. Upepo umebadilika sana sijui ni kwa sababu gani. Ngoja tusubiri. Wakati ukuta.
Safi sana, anaenda kujiunga DP, àkiwa nà Heche, Mpina pamoja na mimi kadhi mkuu 1.
 
Back
Top Bottom