Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa.
Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa tena, ni wazi hawako tayari kuona chama chao kinaongozwa na mtu mwenye uzalendo wenye mashaka kwa chama na taifa, urai wenye mashaka, mipango mikakati ya maneno na mdomo tu, mienendo na kauli zisizotabirika, utii na heshima vyenye mashaka kwa chadema na Taifa kwa ujumla n.k.
Mzee huyo wa chadema alidiriki kusema, kama wazee wa chama hicho, hawako tayari kuongozwa na mtu anaishi nje ya nchi.
Hili ni dhihirisho kwamba kuna hisia na mashaka kwamba huenda mabwenyenye ya magharibi yameinstall vibwengo na vibaraka wao ndani ya uchaguzi huo, na kuwafanya chadema kua makini zaidi kuelekea uchaguzi huo muhimu utakaofanyika kabla ya Pasaka mwaka ujao 2025.
Kama mdau wa siasa za Tanzania, una maoni na mtazamo gani kuhusu wana chadema na mashaka yao dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.