tibwilitibwili
Senior Member
- Sep 12, 2006
- 184
- 10
Haya Bwana,Mie nilifikiria kuhusu ili baada ya Td kuonekana kumetetea Lowassa
Nimeshasema huko nyuma zile sheria ambazo watu walizisema za "Mwalimu" bado zipo.. sheria ya magazeti ya 1976 bado iko hai na inatumiwa; sheria ya usalama wa Taifa ya 1970 nayo bado ipo... sheria ya kuweka watu vizuizini ya 1962 bado ipo na kama nilivyotabiri siku chache zilizopita zitaendelea kutumiwa tena na tena;
Tunaweza kuwaonesha kuwa hawakukosea kama wataangalia Katiba..
Tayari serikali imeshalisamehe gazeti hilo. Mhariri alikwenda kujitetea na utetezi wake umekubalika kuwa hawakuchapisha matoleo mawili bali toleo moja lenye issues mbili kutokana na kuamua kuamua kuifuatilia stori 'mpaka kieleweke'
Tayari serikali imeshalisamehe gazeti hilo. Mhariri alikwenda kujitetea na utetezi wake umekubalika kuwa hawakuchapisha matoleo mawili bali toleo moja lenye issues mbili kutokana na kuamua kuamua kuifuatilia stori 'mpaka kieleweke'
kulikuwa hakuna kosa in the first place, wameona mambo yameanza kuwaka JF na wananywea taratibu. Kulikuwa hakuna makosa yoyote katika story ya Tanzania Daima na serikali inajua hili ila kwa sababu wanazozijua wao wameanza kile alichoapa Mkuchika kuwa watafanya (kudhibiti vyombo vya habari).
Mkuchika anadhani yuko jeshini? Utawala na mawazo ya watu wa aina ya Mkuchika yamepitwa na wakati .Wakicheza watu watazama Mahakamani kupata tafsiri hakuna mchezo .
tusianze kuyaattck magazeti.tuangalie habari ambayo imeletwa na Mwandishi.hawa guardian nao wasilete ujinga hapa. Tangu lini Tanzania Daima likawa tabloid? watu wanatumia maneno bila kujua maana yake? magazeti ya mengi (minus thisday kama ni yake) yote ni tabloid na wala wasitake kuita mengine tabloids.
tusianze kuyaattck magazeti.tuangalie habari ambayo imeletwa na Mwandishi.
Hivi kwa nini Tanzania tuna Wizara na Waziri anayelipwa marupurupu kwa ajili ya Habari na Michezo?
What has got the government to do with Michezo na habari? should this be rolled to private institutions with a regulatory body like Maelezo or BMT under one of those special offices and not a Waziri, Naibu Waziri, Katibu mkuu Michezo, Katibu mkuu habari and such?
With current political structure of the world, Serikali should run away from managing and running Michezo and Media!
Ndio maana wanashindwa kumkamata JF!
Mwanakijiji,
Hapa Tanzania Daima wamevunja sheria period... sababu zaweza kuja baadaye... wao kama wanahabari watumie kalamu zao kusaidia sheria kubadilika sio kufanya vitendo vya kihuni vya kuvunja sheria halali ya sheria ya jamhuri ya muungano... hivi kila mmoja akitoa issue kumi kwa siku... sheria ita-be-monitored vipi.
Ushabiki kitu kibaya sana