Hivi hapo zote si NZ-FE izo engine moja iyo.? Lolote achukue tu apo atakalopenda muonekano.Mtoa mada umechagua magari mengi Sana, angalau ingekuwa magari mawili tungefanya uchaguzi Sahihi
Zote ni 1NZ engine sijui kama jamaa anajua hiloHivi hapo zote si NZ-FE izo engine moja iyo.? Lolote achukue tu apo atakalopenda muonekano.
Kwa option zake hii gari hazeChukua Subaru forester
KWa mtazamo wangu kwa kuto zoeleka chukua ractis new model au spacioHabari wapendwa, nichukue gari gani kati ya Toyota IST,Rush, Ractis,Raum au Spacio,..apo nazungumzia upande wa upatikanaji wa spaire zake na service
Spacio na IST ni gari moja tofauti ni kasha tu. Ungechagua Spacio sababu ya Spaaacee
Rush spear zake ni aghali compared na hizo gari nyengine na upatikanaji sio rahisi kama hizo zengine.Kwa barabara zetu nakushauri uchukue Rush;
1. kwakuwa ina ground clearance nzuri kuliko hao wenzie uliowataja.
2. Ijapokuwa ina ground clearance kubwa, cc zake bado ni nafuu kwa ulaji wa mafuta 1.3/1.5.
3. Ina gearbox ya conventional na sio cvt. Hii inapunguza kidogo gharama wakati wa kufanya service, maana vilainishi vya gearbox za cvt huwa vimechangamka bei ukilinganisha na gearbox za conventional.