Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

Kwa barabara zetu nakushauri uchukue Rush;
1. kwakuwa ina ground clearance nzuri kuliko hao wenzie uliowataja.

2. Ijapokuwa ina ground clearance kubwa, cc zake bado ni nafuu kwa ulaji wa mafuta 1.3/1.5.

3. Ina gearbox ya conventional na sio cvt. Hii inapunguza kidogo gharama wakati wa kufanya service, maana vilainishi vya gearbox za cvt huwa vimechangamka bei ukilinganisha na gearbox za conventional.
Service ya CVT unafanya kila siku mkuu au kila mwezi? Au ukiweka unasahau
 
Toyota IST (2007–2010, chassis NCP110, injini 1NZ 1.5L)
 
Service ya CVT unafanya kila siku mkuu au kila mwezi? Au ukiweka unasahau
Unafanya baada ya recommended km kama kawaida. Ila transmission fluid yake ni expensive kuliko ATF

Gearbox hiyo inapofanyiwa service inatakiwa kubadili na filter wakati upande wa conventional hamna filter

Gearbox hiyo iko delicate. Haivumilii endapo kama itawekewa transmission fluid tofauti na recommended
 
Back
Top Bottom