Kwa barabara zetu nakushauri uchukue Rush;
1. kwakuwa ina ground clearance nzuri kuliko hao wenzie uliowataja.
2. Ijapokuwa ina ground clearance kubwa, cc zake bado ni nafuu kwa ulaji wa mafuta 1.3/1.5.
3. Ina gearbox ya conventional na sio cvt. Hii inapunguza kidogo gharama wakati wa kufanya service, maana vilainishi vya gearbox za cvt huwa vimechangamka bei ukilinganisha na gearbox za conventional.