Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Ndio maana sasa hivi wamebuni njia mpya ya kuwavizia wananchi madukani,ukitoka kununua tu bidhaa wanakuvaa uoneshe risiti!Unakula faini milion na tayari wanakuwa wamekusanya mapato kukamilisha SGR!Mkuu leo ukipita Pale KTM mbagala pembeni kulikua kuna malori lukuki siku hizi hayapo,,ukipita kisemvule kuna kiwanda cha cement leo yamebaki magofu,,ukipita Quality center hivyo hivyo,Dangote nae kafunga..sababu tu ni sifa za watu wachache kiukweli serikali hii ni ya hivyo kuliko zote
Nakumbuka hii ilikuwa Adiss Ababa. Lakini alipogeuza tu mgongo M7 na PK walienda kubadili katiba zao kujiongezea muda na viunzi vya umri. Mwakilishi wetu yeye akaja kunyamazisha kila kitu.Obama alisema "Afrika haitaji maraisi wazuri bali taasisi bora na imara" sas nakubali alichosema huyo nguli wa siasa na utawala bora duniani. Kilicho mfanya Trump kusema Pooo ni mifumo. Kila aliyempa maelekezo aliyakaa mpk makamu wake kasema MZEE SIWEZ PINDUA MAAMUZI YA WAMAREKANI. Sisi Wauni wanapindua maamuz yetu na tunacheka. Cku yaja haiko mbali hata kama kwa miaka itafika tutaheshimiana.
Jaribu kufikiri kama hilo lingetokea Dodoma watu wamevamia pale Bungeni kuzuia wakina Mdee wasiapishwe, wanavamia wanaingia hadi kwenye ofisi ya Ndungai, jaribu kupata picha nini kingetokea! nadhani mitaro yote hapo jirani ingejaa maji mekundu nasema hivyo si kwa sababu za kisiasa ila ueredi wa kukabiriana na hali kama hiyo hatuna kabisa,hasa ikijulikana wanaoandamana ni wa upande furani aaa hapo ndio kabisaaa, ungeshuhudia mambo yakusikitisha na kukusononesha maisha yako yote mpaka utakapoingia kaburini.Ukiwa na mahaba sana kumbe unakuwa kipofu?
Hujaona kama kuna watu zaidi ya 4 wamekufa sababu ya huo uchaguzi?
Msichokijua ni kwamba hata huko ukileta ujinga unakula shaba kama hivyo. Nyie hapa mkila virungu mnakimbilia kwa kina Amsterdam.
Naomba pia niulizie kwa Pompeo kama atatoa tamko juu ya vifo hivyo.
Kwa tukio la jana kama ulilishuhudia live hiyo tunaita polisi ilitumia reasonable force vinginevyo vifo vingekuwa zaidi ya hivyo, ndio maana hadi sasa jeshi la polisi linalaumiwa kwa kuchelewa ku react.Ukiwa na mahaba sana kumbe unakuwa kipofu?
Hujaona kama kuna watu zaidi ya 4 wamekufa sababu ya huo uchaguzi?
Msichokijua ni kwamba hata huko ukileta ujinga unakula shaba kama hivyo. Nyie hapa mkila virungu mnakimbilia kwa kina Amsterdam.
Naomba pia niulizie kwa Pompeo kama atatoa tamko juu ya vifo hivyo.
Kuna watu kama mwigulu na phd yake feki, unategemea atamkosoa magufuli kwa lolote ?Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana.
Tulichojifunza zaidi ni jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika na mapungufu yake yalivyofanyiwa kazi na vyombo husika chini ya mihimili mitatu ya nchi hiyo na jinsi utawala wa sheria ulivyoheshimiwa na demokrasia kuachwa ichukue mkondo wake.
Baada ya matokeo kutangazwa Trump alipeleka malalamiko yake Mahakamani akipinga matokeo ya baadhi ya majimbo, mahakama ikasema malalamiko yake hayakuwa na msingi wowote kwa vile hayana ushahidi.
A district court in Nevada shot down the Trump’s claims, finding “that there is no credible or reliable evidence that the 2020 General Election was affected by fraud.”
Jumamosi 2/1/2021 simu ya Trump ilidukuliwa akimpigia Afisa Tume ya uchaguzi wa Georgia Brad Raffensperger akitaka atafute kura 11,780 za ushindi akakataliwa.
“I just want to find 11,780 votes, which is one more than we have. Because we won the state," said Trump on call.
“President Trump, we’ve had several lawsuits, and we’ve had to respond in court to the lawsuits and the contentions," Raffensperger told Trump on the call. "We don’t agree that you have won."
Siku chache kabla ya Bunge la Congress kukutana kuthibitisha ushindi wa Biden, Makamu wa rais Mike Pence alikataa shinikizo la boss wake Trump la kumtaka kuingilia kati matokeo ya kura Electral College Votes na kuzuia kuthibitishwa kwa Rais mteule Jo Biden, Pence alimwambia hana uwezo huo.
"Our Founders were deeply skeptical of concentrations of power and created a Republic based on separation of powers and checks and balances under the Constitution.”
"The Presidency belongs to the American people, and to them alone," Pence told Trump.
Huu ni uthibitisho kuwa viongozi wengi walisimamia haki, utawala wa sheria, imagine makamu wa rais wa Tanzania au nchi yeyote ya Afrika angekataa maelekezo ya rais aliye madarakani.
Baada ya Trump kuona ugumu wa kuitumia mihimili ya Mahakama, Ofisi ya rais White House na Bunge, suluhisho la mwisho lilikuwa ni kuwatumia wafuasi wake na baadhi ya wabunge wa chama chake kuvamia bunge na kujaribu kuzuia mjadala wa kumthibitisha Biden kwa nguvu jaribio ambalo nalo halikufanikiwa.
Mitchell McConnell wa chama cha REPUBLICAN chama anachotoka TRUMP ndani ya Congress alisema;
"I will vote to respect the American people’s decision & defend our system of government. My full remarks".
Kwa Tanzania ni mbunge gani wa chama tawala anaweza kumwambia hivyo rais aliye madarakani.
Pamoja na wafuasi wa Trump kuvamia na kuingia hadi kwenye ukumbi wa bunge na ofisi ya Spika hatukuona polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwatawanya, najiuliza ingekuwa Dodoma watu wamevamia bunge kiasi hicho wakati huu tungekuwa na vifo vingapi na gereza la Isanga lisingetosha.
Pamoja na hayo yote leo Trump amekubali kukabidhi madaraka ifikapo 20/1/2021. Bila taasisi imara leo Trump asingekubali kutoka madarakani.
Tujifunze kuheshimu taasisi zetu, katiba na sheria tulizojitungia na tuache uhuru wa wananchi kufikisha hisia zao kwa vyombo vinavyohusika. Tutumie uchaguzi wa Marekani kuwa kama somo kwetu hasa kwa watawala wa nchi zetu za ki Afrika wanaojiona wao kama miungu watu, kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata kama ni rais.
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.Ni vigumu sis Watanzania kuwa na taasisi imara kwani asilimia kubwa ya raia wake wanapenda sifa hivyo kuwa kiongozi mkuu wa nchi wajibu wake ni kuabudiwa na kusifiwa.
Magufuli anakwambia mhimili wake umejichimbia Chini ndio maana hawa wakina Juma na Ndugai anawapelekesha mpera mpera na wao wasivyojitambua wanakubali tu kuepelekeshwa.Huku hakuna taasisi imara ni maagizo kutoka juu mara moja yanatekelezwa kama ingekuwa kwetu kitendo cha rais Trump kupinga matokeo jeshi la polisi lingemsapoti,mahakama ingemsapoti,chama chake kingemsapoti,makamu wa rais angemsapoti,usalama wa taifa wangemsapoti na Biden mpaka wa leo angalikuwa korokoroni upo.
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.Achana na ujinga wa hao wamarekani, uchaguzi umeonyesha madhaifu ya hiyo wanayoita demokrasia. Uchaguzi toka mwaka jana mtu ameshindwa anapigia tu kelele. Ndio maana sisi tuna taasisi imara kama jeshi la polisi, ukishindwa umeshindwa unakaa kimya.
Kwa uimara wa jeshi letu hakuna hata mjinga mmoja aliyesogeza pua yake nje eti kuandamana kupinga matokeo, hao wamarekani mpaka watu wanaingia kwnye jengo la bunge ni upuuzi tu, ni muhimu huku kwetu polisi waimarishwe zaidi na kupewa meno, ili wajinga wachache na vibaraka wa mabeberu watakaotaka kuiga hayo ya wamarekani waadabishwe wapugwe mpaka wachakaee.
Wewe muongo angalia polisi wa Marekani walivyokuwa wanatoa kipigo cha Mbwa koko you tube -Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana.
Tulichojifunza zaidi ni jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika na mapungufu yake yalivyofanyiwa kazi na vyombo husika chini ya mihimili mitatu ya nchi hiyo na jinsi utawala wa sheria ulivyoheshimiwa na demokrasia kuachwa ichukue mkondo wake.
Baada ya matokeo kutangazwa Trump alipeleka malalamiko yake Mahakamani akipinga matokeo ya baadhi ya majimbo, mahakama ikasema malalamiko yake hayakuwa na msingi wowote kwa vile hayana ushahidi.
A district court in Nevada shot down the Trump’s claims, finding “that there is no credible or reliable evidence that the 2020 General Election was affected by fraud.”
Jumamosi 2/1/2021 simu ya Trump ilidukuliwa akimpigia Afisa Tume ya uchaguzi wa Georgia Brad Raffensperger akitaka atafute kura 11,780 za ushindi akakataliwa.
“I just want to find 11,780 votes, which is one more than we have. Because we won the state," said Trump on call.
“President Trump, we’ve had several lawsuits, and we’ve had to respond in court to the lawsuits and the contentions," Raffensperger told Trump on the call. "We don’t agree that you have won."
Siku chache kabla ya Bunge la Congress kukutana kuthibitisha ushindi wa Biden, Makamu wa rais Mike Pence alikataa shinikizo la boss wake Trump la kumtaka kuingilia kati matokeo ya kura Electral College Votes na kuzuia kuthibitishwa kwa Rais mteule Jo Biden, Pence alimwambia hana uwezo huo.
"Our Founders were deeply skeptical of concentrations of power and created a Republic based on separation of powers and checks and balances under the Constitution.”
"The Presidency belongs to the American people, and to them alone," Pence told Trump.
Huu ni uthibitisho kuwa viongozi wengi walisimamia haki, utawala wa sheria, imagine makamu wa rais wa Tanzania au nchi yeyote ya Afrika angekataa maelekezo ya rais aliye madarakani.
Baada ya Trump kuona ugumu wa kuitumia mihimili ya Mahakama, Ofisi ya rais White House na Bunge, suluhisho la mwisho lilikuwa ni kuwatumia wafuasi wake na baadhi ya wabunge wa chama chake kuvamia bunge na kujaribu kuzuia mjadala wa kumthibitisha Biden kwa nguvu jaribio ambalo nalo halikufanikiwa.
Mitchell McConnell wa chama cha REPUBLICAN chama anachotoka TRUMP ndani ya Congress alisema;
"I will vote to respect the American people’s decision & defend our system of government. My full remarks".
Kwa Tanzania ni mbunge gani wa chama tawala anaweza kumwambia hivyo rais aliye madarakani.
Pamoja na wafuasi wa Trump kuvamia na kuingia hadi kwenye ukumbi wa bunge na ofisi ya Spika hatukuona polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwatawanya, najiuliza ingekuwa Dodoma watu wamevamia bunge kiasi hicho wakati huu tungekuwa na vifo vingapi na gereza la Isanga lisingetosha.
Pamoja na hayo yote leo Trump amekubali kukabidhi madaraka ifikapo 20/1/2021. Bila taasisi imara leo Trump asingekubali kutoka madarakani.
Tujifunze kuheshimu taasisi zetu, katiba na sheria tulizojitungia na tuache uhuru wa wananchi kufikisha hisia zao kwa vyombo vinavyohusika. Tutumie uchaguzi wa Marekani kuwa kama somo kwetu hasa kwa watawala wa nchi zetu za ki Afrika wanaojiona wao kama miungu watu, kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata kama ni rais.
Kule ni duniani baba, huku ni kama tupo stand mkuu, mpiga debe yoyote mwenye nguvu ndiyo anayebakia abiria wengi hakuna utaratibu wowote, wewe hapo ulipo huwezi kumhoji hata DAS jambo lolote hata kama amevunja sheriaUchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana.
Tulichojifunza zaidi ni jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika na mapungufu yake yalivyofanyiwa kazi na vyombo husika chini ya mihimili mitatu ya nchi hiyo na jinsi utawala wa sheria ulivyoheshimiwa na demokrasia kuachwa ichukue mkondo wake.
Baada ya matokeo kutangazwa Trump alipeleka malalamiko yake Mahakamani akipinga matokeo ya baadhi ya majimbo, mahakama ikasema malalamiko yake hayakuwa na msingi wowote kwa vile hayana ushahidi.
A district court in Nevada shot down the Trump’s claims, finding “that there is no credible or reliable evidence that the 2020 General Election was affected by fraud.”
Jumamosi 2/1/2021 simu ya Trump ilidukuliwa akimpigia Afisa Tume ya uchaguzi wa Georgia Brad Raffensperger akitaka atafute kura 11,780 za ushindi akakataliwa.
“I just want to find 11,780 votes, which is one more than we have. Because we won the state," said Trump on call.
“President Trump, we’ve had several lawsuits, and we’ve had to respond in court to the lawsuits and the contentions," Raffensperger told Trump on the call. "We don’t agree that you have won."
Siku chache kabla ya Bunge la Congress kukutana kuthibitisha ushindi wa Biden, Makamu wa rais Mike Pence alikataa shinikizo la boss wake Trump la kumtaka kuingilia kati matokeo ya kura Electral College Votes na kuzuia kuthibitishwa kwa Rais mteule Jo Biden, Pence alimwambia hana uwezo huo.
"Our Founders were deeply skeptical of concentrations of power and created a Republic based on separation of powers and checks and balances under the Constitution.”
"The Presidency belongs to the American people, and to them alone," Pence told Trump.
Huu ni uthibitisho kuwa viongozi wengi walisimamia haki, utawala wa sheria, imagine makamu wa rais wa Tanzania au nchi yeyote ya Afrika angekataa maelekezo ya rais aliye madarakani.
Baada ya Trump kuona ugumu wa kuitumia mihimili ya Mahakama, Ofisi ya rais White House na Bunge, suluhisho la mwisho lilikuwa ni kuwatumia wafuasi wake na baadhi ya wabunge wa chama chake kuvamia bunge na kujaribu kuzuia mjadala wa kumthibitisha Biden kwa nguvu jaribio ambalo nalo halikufanikiwa.
Mitchell McConnell wa chama cha REPUBLICAN chama anachotoka TRUMP ndani ya Congress alisema;
"I will vote to respect the American people’s decision & defend our system of government. My full remarks".
Kwa Tanzania ni mbunge gani wa chama tawala anaweza kumwambia hivyo rais aliye madarakani.
Pamoja na wafuasi wa Trump kuvamia na kuingia hadi kwenye ukumbi wa bunge na ofisi ya Spika hatukuona polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwatawanya, najiuliza ingekuwa Dodoma watu wamevamia bunge kiasi hicho wakati huu tungekuwa na vifo vingapi na gereza la Isanga lisingetosha.
Pamoja na hayo yote leo Trump amekubali kukabidhi madaraka ifikapo 20/1/2021. Bila taasisi imara leo Trump asingekubali kutoka madarakani.
Tujifunze kuheshimu taasisi zetu, katiba na sheria tulizojitungia na tuache uhuru wa wananchi kufikisha hisia zao kwa vyombo vinavyohusika. Tutumie uchaguzi wa Marekani kuwa kama somo kwetu hasa kwa watawala wa nchi zetu za ki Afrika wanaojiona wao kama miungu watu, kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata kama ni rais.
Hilo ni somo tosha!Nawashangaa watu wanaotumia Marekani kama mfano wa kuwa na wao hawana demokrasia,huwa hawaoni angle ambayo mleta mada umeiweka!
Jambi kubwa ni kuwa taasisi haziko kumtumikia mtawala,ziko kwa ajili ya interest za wananchi!
Ndio, ni sahihi polisi kudhibiti ghasia.Wewe muongo angalia polisi wa Marekani walivyokuwa wanatoa kipigo cha Mbwa koko you tube -
Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress
Hapa hoja sio kuuwawa, bali hoja ni nguvu kiasi ya hizo taasisi. Kwa vyovyote huko taasisi zao zitadeal na waliofanya hayo mauaji. Hapa kwetu mauaji yanafanyika na taasisi ndio zinatumika kuficha hayo mauaji.Ukiwa na mahaba sana kumbe unakuwa kipofu?
Hujaona kama kuna watu zaidi ya 4 wamekufa sababu ya huo uchaguzi?
Msichokijua ni kwamba hata huko ukileta ujinga unakula shaba kama hivyo. Nyie hapa mkila virungu mnakimbilia kwa kina Amsterdam.
Naomba pia niulizie kwa Pompeo kama atatoa tamko juu ya vifo hivyo.
Na ile kauli ya kuwa "Neno kutoka kwa rais ni sheria" as if rais ni MunguHuku hakuna taasisi imara ni maagizo kutoka juu mara moja yanatekelezwa kama ingekuwa kwetu kitendo cha rais Trump kupinga matokeo jeshi la polisi lingemsapoti,mahakama ingemsapoti,chama chake kingemsapoti,makamu wa rais angemsapoti,usalama wa taifa wangemsapoti na Biden mpaka wa leo angalikuwa korokoroni upo.
Kwani hapa kwetu wafuasi wa Magu wakijaribu kushinikiza atangazwe tu hata kama hajashinda wataachwa tu wafanye watakalo?
Ni kweli, pia ukipita mitaani kuanzia Kinondoni Ilala hadi Temeke mateja wote hamna. Madawa ya kulevya yameondoka pamoja na viwanda hivyo vya mangumashi!Mkuu leo ukipita Pale KTM mbagala pembeni kulikua kuna malori lukuki siku hizi hayapo,,ukipita kisemvule kuna kiwanda cha cement leo yamebaki magofu, ukipita Quality center hivyo hivyo, Dangote nae kafunga, sababu tu ni sifa za watu wachache kiukweli serikali hii ni ya hivyo kuliko zote.
Kama hajatoa wewe taarifa umezitoa wapi hizi?Ukiwa na mahaba sana kumbe unakuwa kipofu?