Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
Leo 11:35hrs 07/11/2020
Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni alisema Waasisi wetu Julius Nyerere, Keneth Kaunda na Kwame Nkrumah walitusisitiza vitu vinne 1. Kujitegemea 2. Kujitawala Wenyewe 3. Amani na Umoja 4. Upendo
Hotuba hii ya Rais Yoweri Museven ni ujumbe mzito kwa Vijana wote wa kiafrika kuacha kutegemea Wazungu,kama sasa tunakusanya kodi 1.4 trillion baada ya mwaka 2025 miradi yote ya Rais John Magufuli ikiwa imeisha, naamini tutakusanya zaidi ya Trilioni 4 kila mwezi, kwa namna hii hakuna haja tena ya kutegemea Wazungu, Mwalimu Julius Nyerere alituongoza Watanzania na Waafrika wote hadi Mwaka 1979 baada ya vita vya Kagera, kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa mbaya baada ya vita, tuliomba pesa za kununua vipuri kwa ajili ya Viwanda vyetu, tukakataliwa kwa kupewa masharti magumu na Viwanda vyetu vikafa.
Wazungu walitaka Viwanda vyetu vife ili tupeleke kwao malighafi halafu tuwategemee wao watengeneze shati, gauni na suruali waje kutuuzia shilingi elfu hamsini 50,000 wakati wao wamenunua kwetu Malighafi kwa shilingi elfu moja 1,000 hii kamwe Rais John Magufuli kaikataa na kaanza kujenga Viwanda vyetu. Huu ndio Msingi wa meseji ya Rais Yoweri Museveni kwa vijana wa Kitanzania na Vijana wote wa kiafrika, Taifa la kesho "We got liberate ourselves from the Western World" Waafrika tujitawale wenyewe, isiwe kinachofanyika Marekani ni sawa ila iko iko kikifanyika Tanzania basi kinakuwa si sawa.
- Donald Trump aliyekuwa akiwapa kichwa CHADEMA na Tundu Lissu wao.
Baada ya kutangazwa Ushindi wa Joe Biden, Donald Trump aliyekuwa akicheza Golf, aliukana Ushindi wa Joe Biden na badala yake akaingia Twitter na kuandika "Tumeshinda Kwa Kishindo" na mara moja Twitter wakamblock, Utamaduni wa Marekani Mshindi akishatangazwa basi aliyeshindwa huinua simu na kumpigia mshindi na kumpongeza, Kisha anaita vyombo vya habari na kumpongeza mshindi,lakini leo hii Donald Trump kashindwa kufanya hivyo, huyu Trump ndiye aliyekuwa akiwapa vichwa Chadema na Tundu Lissu lakini leo Demokrasia imeshindwa kuonekana kwake Donald Trump, that shows, American democracy is a "Political Masterbation".
Tathmini ya kabla ya Uchaguzi wa Marekani ilikuwa hivi,Uwezekano wa Joe biden kushinda Marekani ulikuwa wa asilimia 87%, uwezekano wa democrats kupata wabunge wengi ulikuwa wa asilimia 96% ,na uwezekano wa democrats kupata maseneta wengi ulikuwa wa asilimia 67% Wakati hayo yakiendelea, tathmini ya maafisa wa kijasusi ilionya kwamba,zipo nchi za kigeni zenye nguvu zitatumia uwezo wake wote kujaribu kuwa na ushawishi katika uchaguzi wa Marekani, na kuzungumzia hasa nchi tatu Urusi, China na Iran, taarifa hiyo ilimfanya Joe Biden kutoa onyo kuwa ''kutakuwa na malipo'' ikiwa Urusi itaendelea kuingilia Uchaguzi wa Marekani kama ilivyofanya 2016 na kumuingiza Donald Trump.
Baada ya Uchaguzi,Kwa kura za Wajumbe wanaowafahamu vyema Joseph Biden na Donald Trump,Matokeo ya kura za wajumbe yamempa Ushindi Joseph Biden ameshinda kwa kura 290 huku Donald Trump akipata kura 214, kutoka kwa Wananchi wa Marekani "kura za umaarufu" Joe Biden ameshinda zaidi ya kura million 74 dhidi ya kura Milioni 69 za Donald Trump, kati ya kura 150 zilizopigwa nchi nzima ya Marekani,Donald Trump amekataa matokeo na Jumatatu anakwenda Mahakamani, The Americans should not worry, The joy is that the new Supreme Court Judge, Amy Coney Barrett, will be an instrument of check.
- Kwa nini si tume ya Uchaguzi bali ni Mataifa ya kigeni yenye uwezo wa kuiba kura za mshindi wa Uchaguzi wa Marekani!?
Inafahamika kwamba Urusi ilikuwa na mkono wake katika uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 na matokeo yake ambayo yalimpa ushindi Donald Trump,kwa ufupi, Shirika la Ujasusi la Marekani linaamini kwamba Urusi ilijaribu kushawishi uamuzi wa wapiga kura kumpendelea Donald Trump, na kugusia mikutano kati ya timu yake na maafisa wa Urusi, na kufanyika kwa shambulio la kimtandao dhidi ya mpinzani wake wakati huo Hillary Clinton kutoka Chama Cha democrats, Mwezi uliopia, jopo la Seneti la Republican liliunga mkono mtazamo kwamba Urusi ilitaka Trump aibuke na ushindi na kuhitimisha kwamba kampeni yake ni rahisi kulengwa na nchi za kigeni,
- Je Urusi, China, Iran, Tanzania zinaweza kuingilia Uchaguzi wa Marekani na kuifanya Marekani kuwa Bora zaidi?
Maswali haya yalikuwa kwenye vichwa vya intelijensia ya Marekani wakati nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi, ni kweli kuwa Urusi, China, Iran na Tanzania kila moja inamalengo yake na uwezo wake binafsi katika kushawishi wapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani,hili ni tokeo la kuadvance kwenye teknoloji tofauti na Tanzania ambapo Wapinzani wanataka tume huru ilihali Marekani imeshapita huko zamani hata hapo Kenya wameshapita uko na bado watu wanaendelea kulalamika kuibiwa kura, kwenye maendeleo yoyote ya kiteknolojia yapo madhara yake hili likiwa moja wapo na lingine likiwa gonjwa la kirusi cha corona, hili nalo ni madhara ya Maendeleo katika teknolojia na kwa hakika madhara haya uwa yanawapa zaidi wao waliokuwa kwenye mchakato huo wa Maendeleo ya kiteknolojia.
Medani za kisiasa nchini Marekani zilisema China imekuwa tishio kubwa mwaka huu, katika tathmini ya kimataifa ilisema intelijensia ya Marekani inaamini kwamba China inapendelea kuwa Rais Donald Trump ashindwe - ambaye Beijing inamchukulia kama mtu asiyetabirika - asipate ushindi tena, mwezi uliopita, Rais Trump alirudia kuchapisha makala kwenye mtandao wa Twitter kutoka kwenye tovuti ya Breitbart yenye kichwa cha habari'' China inaonekana kumpendelea Joe Biden kwenye uchaguzi wa urais''. Ikiunga mkono madai ya Intelijensia ya marekani, kampuni ya Microsoft ilisema wavamizi wenye kuhusishwa na urusi, China na Iran walijaribu kupeleleza masuala ya msingi katika uchaguzi wa Marekani, kwa upande wa Iran, ilisema kwamba kundi la Iran la Phosphorus lilishindwa kufikia akaunti za Ikulu ya Marekani na wafanyakazi wa kampeni ya Bwana Trump kati ya Mei na Juni mwaka huu.
Kwa Upande wa Tanzania ilikuwa ikiomba Mungu kwa mtindo wa "pigana na wanaopigana nami" hata pale Maombi ya Trump yatakapoita all Angels from Afrika, maombi yatakwenda kufanya kazi kinyume nae,"Hakika wanamtaka Biden" Nimechukua mabilioni ya dola kutoka China na kuwapa wakulima wetu na hazina ya Marekani, China ingeimiliki Marekani ikiwa Biden na Hunter wangeingia!" Bwana Trump aliandika, akimaanisha Hunter mtoto wa Joe Biden, Uhusiano wa Marekani na China ni hafifu na mgogoro kuhusu kila kitu kutoka masuala ya virusi vya corona hadi China kuweka sheria yenye utata ya usalama huko Hong Kong, Joe Biden ametafuta kujitetea dhidi ya tuhuma kutoka kwa Rais Trump kuwa yeye ni mpole kwa China, akiahidi kuwa "thabiti" kuhusu haki za binadamu na masuala mengine, Democrats ingawa wanasema kuwa linapokuja suala la uchaguzi angalau, ni Urusi ambayo inakuwa na ukaidi zaidi na kuingilia Uchaguzi wa Marekani.
Nimalizie kwa kuwaambia Chadema ya kwamba Jana Wamarekani walikuwa na Jambo lao,Joe Biden amechaguliwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani,kwa sasa hakuna cha balozi kuwatia ujinga, wala Pompeo,mwendo mdundo siku zote Democrats wamekuwa rafiki mwema kwa Afrika toka enzi za John F Kennedy aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jimmy Carter na Marais wote waliofuata kupitia Democrats. Rejea nukuu za kupinga Trump alizozitoa baada ya Vyombo vikubwa vya habari kumtangaza Joe Biden kama ndiye mshindi wa Urais wa Marekani;
In Pennsylvania our observers were not permitted to watch the vote counting-Donald Trump. (Pennsylvania mawakala wetu wa Republican walizuiliwa kuingia kuhesabu kura)ha ha ha Tindu Lissu bana,
Illegal ballots are the one that has chosen Joe Bidden-Donald Trump (Kura haramu ndizo zilizomchagua Joe Bidden) ha ha Tindu Lissu bana
On Monday we will pursue our case in court to ensure the rightful winner is seated,(Jumatatu tutaenda Mahakamani)ha ha Tindu Lissu bana,
#ItIsReallyAmericanDemocracy.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.