Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani !
Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini useme na nini usiseme.
Watu wanataka kushinda tu hata kama itakuwa ni kwa kuumiza wengine ,hawajali na sio shida zao ! Mimi nimeambiwa mwaka huu mpinzani wa mamlaka iliyopo ni Mungu mwenye mamlaka ,mamlaka itapambana na mamlaka.
Nimeambiwa katika ndoto nzito kwamba Mungu ataisapraiz ccm ,wanapima nguvu ya wapinzani kwa kuwadhoofisha lakini Mungu huwezi kumdhoofisha kamwe ,uchaguzi ujao ccm hawatashinda na hawatafanikiwa kuingia ikulu. Mungu mwenyewe atasimamia haki na mpinzani wa kweli ataletwa na mungu na itakuwa surprised