Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

eretzisrael

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
331
Reaction score
474
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
 
Naunga hoja mkono mkuu.
JamiiForums-561822830_720x720.jpg
 
Achukue likizo ya kikazi aende Chato na Dreamliner tarehe 26.08.2020 arudi tarehe 28.10.2020 akisubiri kuapishwa, hiyo itakuwa poa. Viva JPM hakuna haja ya kupiga debe mwaka huu au......
 
Kama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch kazi aliyoifanya tumeiona na deni analotudai ni kumpigia kura ... Kama yeye amekua muaminifu kwetu na sisi hatuna budi kumpigia kura
Usiwasemee wenzako sema wewe mwananchi na sio sisi wananchi maana wengine hayo mambo ya siasa hatuyajui
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
Jipe moyo, ukimakiza kakusanye buku saba

Huu uchaguzi ni mgumu sana kwa sababu mioyo ya wananchi imepondeka na hawana tumaini, wamekandamizwa na kunyanyaswa ka miaka mitano na hawana pa kuzungumza zaidi ya kwenye box za kura
 
Acha uchochez .. tunashinda asubh mapema
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
Haya maneno yanawakera kweli kweli hawa makamanda uchwara. Wanatamani wabamize mibichwa yao kwenye lile jengo bovu bovu pale mtaa wa ufipa.
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
Kampeni kafanya kwa miaka minne, kwa nini asishinde?
 
Back
Top Bottom