Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

Kama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch
Wewe nae ni Mwananchi unaishi kwaDada shemeji ndio anakudhamini hadi nguo za ndani
Iko siku ataomba mzigo
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo

Kweli kabisa, John Pombe Magufuli atafanya kampeni kuongeza idadi ya madiwani na wabunge kule alikowaachia wapinzani 2015 ila yeye kama rais tunamtambua kwa kazi zake na sio kwa ahadi. Ameshapitaaa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ccm itashinda bila nguvu nyingi kutokana na aina ya wagombea urais toka upinzani,Ni Kama wameshashindwa kabla hata kampeni
Tundu lissu yupo bize kutumia shambulio lake kupata huruma badala kujikita kwenye hoja za kugusa wananchi
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..

2015 alikutana na mgombea bubu

Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia

Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua

So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofalndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua

So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?

Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?

CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
Watu wana hali mbaya kiuchumi haya madaraja aliyojenga wala hawayaoni.
 
As easy as ABC, ila uchaguzi wa 2025 ndo patamu saivi tunashuka mlima kitonga
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
 
Siokweli ni habari za uzushi tu.mwizi ni Mbowe kakwapua pesa za michango za wabunge.
je aliyeiba pesa za aliowaita vyeti feki..unamfukuza mtu na kumzuia asichukie pesa yake kwenye akiba yake ya mafao..je huo sio wizi?
Vp kuhusu ile rambi rambi iliyotolewa kwa wahanga wa tetemeko la kule bukoba,vp rambirambi iliwafikia walengwa??
 
Wewe nae ni Mwananchi unaishi kwaDada shemeji ndio anakudhamini hadi nguo za ndani
Iko siku ataomba mzigo

Silaha yenu ni matusi hamna hoja..na ndo maana huyo kibaraka wenu anashinda twitter kuitukana nchi kwa mabeberu nani ampe nchi msaliti, Chadema imekufa tangia siku Dr.Slaa aondoke
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda hizi nchi haziwezi kuukabidhi uraisi upinzani kwa ushindi wa vikaratasi hilo tusahau
 
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.

Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.

CCM itashinda kwa kishindo
Kama uliyoyasema yana ukweli kuna haja gani wewe kutukumbusha? Weka tume huru uone atakavyokula za uso asubuhi na mapema. Kumbuka hata form ya Urais ilibidi watoe moja tu kuogopa ushindani.
 
Wewe na nani hamjui siasa???
Jiongelee wewe na familia yako au Mataga wenzio, wengine mambo ya jiwe hapana kabisa, bora msukuma kuliko jiwe. Na akitoka madarakani lazima hiyo PhD fake yake ichunguzwe
 
Kweli kabisa, John Pombe Magufuli atafanya kampeni kuongeza idadi ya madiwani na wabunge kule alikowaachia wapinzani 2015 ila yeye kama rais tunamtambua kwa kazi zake na sio kwa ahadi. Ameshapitaaa
Jiwe kapita kwako au kwa nani na nani ukitoa mataga?
 
Yaan ukitazama kwa jicho la tatu utagundua Lissu ni kibaraka wa mabeberu ananishangaza avavyopost Twitter kwa kiingereza huku akijua wapiga kura ni watanzania.utashangaa jinsi gan mtu kwa tamaa zake yuko Radhi kuuza nchi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp yule aliyekwapua trillion na hataki CAG mwenye maadili?
 
Silaha yenu ni matusi hamna hoja..na ndo maana huyo kibaraka wenu anashinda twitter kuitukana nchi kwa mabeberu nani ampe nchi msaliti, Chadema imekufa tangia siku Dr.Slaa aondoke
Mwaka huu tutasikia harufu ya Kinyesi ikitokea CCM mnajamba ovyo huku mnaharisha
 
Back
Top Bottom