muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
jizungumzie wewe,sio nafsi za wengine,chochote kinaweza tokea kwenye siasa.kumbuka kura ni Siri ya mtu.Kama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch kazi aliyoifanya tumeiona na deni analotudai ni kumpigia kura ... Kama yeye amekua muaminifu kwetu na sisi hatuna budi kumpigia kura