eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Mkuu bado unajisaidia uani huku ukiposti
The opposite is true
Mnakera na huyo Jiwe wenu
Kwani nani kakutag???Kamweleze babako
Magufuli ndio yupi hapo ?Naunga hoja mkono mkuu.View attachment 1544325
Mkuu hawa Chadema ni kama nyumbu.wanafatafata hata awatumii akili.wasikuumize kichwa.Kwani nani kakutag???
Usiwasemee wenzako sema wewe mwananchi na sio sisi wananchi maana wengine hayo mambo ya siasa hatuyajuiKama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch kazi aliyoifanya tumeiona na deni analotudai ni kumpigia kura ... Kama yeye amekua muaminifu kwetu na sisi hatuna budi kumpigia kura
Jipe moyo, ukimakiza kakusanye buku sabaYaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.
Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.
CCM itashinda kwa kishindo
Usiwasemee wenzako sema wewe mwananchi na sio sisi wananchi maana wengine hayo mambo ya siasa hatuyajui
Jipe moyo, ukimakiza kakusanye buku saba
Huu uchaguzi ni mgumu sana kwa sababu mioyo ya wananchi imepondeka na hawana tumaini, wamekandamizwa na kunyanyaswa ka miaka mitano na hawana pa kuzungumza zaidi ya kwenye box za kura
Uchochezi kumtaja Lissu, hakuna anaemtaka Jiwe labda muibe kura kama kawaida yenuAcha uchochez .. tunashinda asubh mapema
Haya maneno yanawakera kweli kweli hawa makamanda uchwara. Wanatamani wabamize mibichwa yao kwenye lile jengo bovu bovu pale mtaa wa ufipa.Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.
Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.
CCM itashinda kwa kishindo
Siokweli ni habari za uzushi tu.mwizi ni Mbowe kakwapua pesa za michango za wabunge.Huyo anayeiba rambirambi na matrilion ya Watanzania ndie Ana akili eeh?!!
Kampeni kafanya kwa miaka minne, kwa nini asishinde?Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.
Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia kampeni.
CCM itashinda kwa kishindo