muokotamatunda JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 1,614 Reaction score 1,202 Aug 22, 2020 #41 Isack Elia said: Kama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch kazi aliyoifanya tumeiona na deni analotudai ni kumpigia kura ... Kama yeye amekua muaminifu kwetu na sisi hatuna budi kumpigia kura Click to expand... jizungumzie wewe,sio nafsi za wengine,chochote kinaweza tokea kwenye siasa.kumbuka kura ni Siri ya mtu.
Isack Elia said: Kama ingekua inawezekana angepumzika asifanye kampeni maana sisi Wananch kazi aliyoifanya tumeiona na deni analotudai ni kumpigia kura ... Kama yeye amekua muaminifu kwetu na sisi hatuna budi kumpigia kura Click to expand... jizungumzie wewe,sio nafsi za wengine,chochote kinaweza tokea kwenye siasa.kumbuka kura ni Siri ya mtu.
eretzisrael JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 331 Reaction score 474 Aug 22, 2020 Thread starter #42 muokotamatunda said: jizungumzie wewe,sio nafsi za wengine,chochote kinaweza tokea kwenye siasa.kumbuka kura ni Siri ya mtu. Click to expand... Acha kujifariji
muokotamatunda said: jizungumzie wewe,sio nafsi za wengine,chochote kinaweza tokea kwenye siasa.kumbuka kura ni Siri ya mtu. Click to expand... Acha kujifariji
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Aug 22, 2020 #43 Mtende said: Uchochezi kumtaja Lissu, hakuna anaemtaka Jiwe labda muibe kura kama kawaida yenu Click to expand... Wewe Kama unamtaka Lissu kampigie kura na tunaomtaka JPM tutampigia kura. Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mtende said: Uchochezi kumtaja Lissu, hakuna anaemtaka Jiwe labda muibe kura kama kawaida yenu Click to expand... Wewe Kama unamtaka Lissu kampigie kura na tunaomtaka JPM tutampigia kura. Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
muokotamatunda JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 1,614 Reaction score 1,202 Aug 22, 2020 #44 Isack Elia said: Acha kujifariji Click to expand... huo ndio ukweli ndugu,kwani kura ni ya wazi?kumbuka jpm mwenyewe alisisitiza kura zipigwe sio kubweteka tumeshinda,Mimi yangu ni hayo tu.
Isack Elia said: Acha kujifariji Click to expand... huo ndio ukweli ndugu,kwani kura ni ya wazi?kumbuka jpm mwenyewe alisisitiza kura zipigwe sio kubweteka tumeshinda,Mimi yangu ni hayo tu.