Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Duuh! Itakuwa kunafukuto kubwa huko ndani ya ccm. Wasipoangalia watatoana roho.

Asante sana kwa dondoo hili mkuu
Yawezekana yanayosemwa yapo au yalikuwepo... hata mzee Mangula kama sikosei alianza kwa kusema walifanya kazi kbwa ya kutotenganisha urais na uenyekiti
 
Zoezi la upigaji kura ni kiboko....kama hii ndio demokrasia kwenye vyama vyetu vya siasa basi Afrika tuna laana kubwa kuliko ya Kaini wa kwenye Biblia!
Hamna demokrasia duniani,kama ipo ingeanzia nyumbani mama na baba waulize watoto wanataka kuamka saa ngapi, kula nini, kuvaa nini na vyote vipatikane kwa matakwa ya kila mmoja.
 
mzee pinda mbona kama ana wasiwasi na wajumbe
Wanajipa mapresha ya kijinga tu yasiyo na ulazima! Unatarajia vipi kupata 100% kwenye kundi la watu 1000+? Mimi naona kupata 100% ni upuuzi kabisa kuliko kupata 80%
 
Reactions: Lee
Hata wakimkataa bado watasema kapitishwa kwa 100
 
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo.

Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu Maalumwa kumchagua Mwenyekiti wake wa taifa jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Makao Makuu ya Chama.

Wajumbe wengi wapo ukumbini

Updates:



 
Wagombea wa nafasi za uNEC katika mkutano mkuu wa CCM wamegoma kuteua watu wa kusimamia kura zao na badala yake wameenda wao wenyewe kusimamia.

Nafasi ziko 2 na wagombea wako 6

Hii safi sana tofauti n Ufipa kura za Nyalandu ziliibwa kinyang'anyiro cha urais.

Kazi Iendelee!
 
Kawaida yenu, kama glasi za maji hamuwezi kuziacha mezani itakuwa hizo kura.
 
Wamezoea kuiba ndiyo maana hawaaminiani?
 
Ukiwasha TBC Ghafla Unaweza Kufikiri ni Shamba la Migomba kumbe ni Mkutano Mkuu-Dodoma🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…