Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Yawezekana yanayosemwa yapo au yalikuwepo... hata mzee Mangula kama sikosei alianza kwa kusema walifanya kazi kbwa ya kutotenganisha urais na uenyekitiDuuh! Itakuwa kunafukuto kubwa huko ndani ya ccm. Wasipoangalia watatoana roho.
Asante sana kwa dondoo hili mkuu