fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #21
raundi ya pili raila alipata 22 mjibout 19 so wanaendeleaNavyoelewa utaratibu...
Huyu Mahmoud anaenda round ya 7 mwenyewe akikosa kura 33 au zaidi basi Raila anarudishwa...Ila akizipata ndiyo bye bye
Mkuu imeisha hiyobro tulia,raundi ya pili aliongoza raila,bado uchaguzi unaendelea
Hatuhesabu round zilizopita.....tunahesababu ya sita....matokeo yakishatangazwa utaelewa zaidi.raundi ya pili raila alipata 22 mjibout 19 so wanaendelea
mie kijana? pole,mie ni mjuzi bro usikurupuke fuatilia nyuzi a ha tu kuongeaFuatilia chaguzi zilizopita kijana
tusubiriHatuhesabu round zilizopita.....tunahesababu ya sita....matokeo yakishatangazwa utaelewa zaidi.
Kaka wewe mbishi sana. Djibouti Kesha chukua mapema kabisamie kijana? pole,mie ni mjuzi bro usikurupuke fuatilia nyuzi a ha tu kuongea
Sawa mkuu uisiwe na shaka nikupa taarifaNamtakia ushindi nyota njema huonekana asubuhi endelea kutupa update mkuu mi nafatilia osasuna na Madrid hapa
Rwanda anavyopigana na DRC, inapigana Africa mashariki.Leo unafanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika huko Adidas Ababa
Ethiopia
Duru ya kwa Raila Odinga wa Kenya kapata kura 20, mgombea wa Djibouti kapata
kura 18 na wa Madagascar kura 10.
Je Raila atapita kwenye duru hii ya pili. Ikishinda Kenya imeshinda Afrika Mashariki.
Ila wanatofauti kubwa sana kifikra.Miaka 80 kama Wassira
ok nimeonaKaka wewe mbishi sana. Djibouti Kesha chukua mapema kabisa
ok nimeonafimboyaukwaju nimo ukumbini humu…RAO kura hazikutosha. Next time.
Bora ashindwe,Kenya ni ndumilakuwili.Leo unafanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika huko Adidas Ababa
Ethiopia
Duru ya kwa Raila Odinga wa Kenya kapata kura 20, mgombea wa Djibouti kapata
kura 18 na wa Madagascar kura 10.
Je Raila atapita kwenye duru hii ya pili. Ikishinda Kenya imeshinda Afrika Mashariki.
aisee acha tuDaa mzee wetu RAILA mapambanaji hakika utakumbukwa kwenye siasa na mageuzi mbalimbali ya kiuongozi.
Hakika mwendo umeumaliza, naona kabisa hata kwenye siasa za nyumbani ndiyo imetoka hii!.