Uchaguzi wa Papa ni wa kiimani, siyo uchaguzi kama tulivyozoea

Hizo Roho na Kiroho kuhusiana na ishu ya Papa au hiyo Roho na Kiroho kama vitu vilivyopo katika maisha ya binadamu?

Dini ni imani. Na imani unaweza kuiamini au kutoiamini.

Wewe kama huamini, tulia tu, haikuhusu.
 
Hakuna papa anaechaguliwa na mungu. Papa anapigiwa kura na makadinali ambao wote ni watu.

Papa anapigiwa kura na wanadamu KWA IMANI ya maongozi ya Mungu. Imani haithibitishwi kisayansi.
 
Kushiriki kuomba Mungu apatikane kiongozi ili aendeleze upagani wa kupotosha Injili ni dhihaka kwa Mungu. Binafsi sishiriki maombi hayo batili
Wala hakuna wa kukushikia bunduki kwamba lazima ushiriki kuomba,waache watakaoshiriki washiriki kisha wewe baki na imani yako unayoiona bora sana.
 
Papa anapigiwa kura na wanadamu KWA IMANI ya maongozi ya Mungu. Imani haithibitishwi kisayansi.
Kinachofanyika kwenye kumchagua papa, ni hicho nilicho bold hapo. Hayo mengine ni porojo tuu manake hata yasipokuepo bado papa atapatikana tu.
 
Unaposema mchakato ni wa kiroho unamaanisha nini wakati wanaopiga kura ni watu?
Unaposema ubatizo kiroho una maana gani wakati anayekumwagia maji ya ubatizo ni kasisi? Unaposema kuokoka ni nchakato wa kiroho una maana gani wakati anayekuombea ni mchungaji/mtu? Roho Mtakatifu anafanya kazi kupitia watu wake.
 
Sasa unaniuliza mimi tena?
 
Hivi papa huwa hawafanyi miujiza na ishara zozote zaroho mtakatifu? Binafsi sijawahi ona hata kamtoa mtu mapepo,au kamgusa Mgonjwa akapona!nk. Mbona Inakuaga anashangiliwa tuuu
Papa haigizi kama hao wanaouza maji na udongo
 
Ni Mchakato wa Kiroho unaohusisha Roho Mtakatifu anayechagua kupitia kura zinazopigwa na Makardinali wanaoongozwa na Roho Mtakatifu.
Wewe una uhakika gani kwamba hao makadinali wanaongozwa na roho mtakatifu? Na kama roho mtakatifu ndio anachagua, hao makadinali wao kazi yao ni nini? Je, bila makadinali kupiga kura papa atapatikana?
 
Imani moja kwa watu wenye muelekeo mmoja, ikiwa huna imani ya watu wasiouelekeo uelekeo kaa kimya, sio kila kitu ni kwa kila mtu!!
 
Hivi papa huwa hawafanyi miujiza na ishara zozote zaroho mtakatifu? Binafsi sijawahi ona hata kamtoa mtu mapepo,au kamgusa Mgonjwa akapona!nk. Mbona Inakuaga anashangiliwa tuuu
Nguvu ya muujiza haipatikani kwa kila mtu mkuu, nikarama ambayo mtu amepewa,
 
Mbona Mungu alidondosha mana na nyama kule jangwani bila kupitia mkono wa musa ama mwanadamu yeyote yule?!!!
 
Janja janja uchaguzi ni ule ule kama wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…