Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
naunga mkono hoja Rais Samia ana uwezo kuimarisha Muungano kwa Serikali, Moja muda uliopo unatosha kabisa kufanya Minimum Reforms. Anachohitaji ni utashi wa Kisiasa TuuMoja ya hotuba maarufu sana za baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano.
Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti wamekuwa wakimtaja kama mzanzibari.
Ielewe kuwa Rais Samia maadam ni mtumishi wa Watanzania hawezi kukwepa kukosolewa, kushashauriwa na hata kupongezwa na waajiri wake. Lakini katika nchi iliyokwosha vuka viunzi vya ukabila, inashangaza kuona ukosoaji dhidi yake unapoambatanishwa na uzawa wake. Tabia hii kwa mujibu wa Mwl. Nyerere huu ni ukaburu, na inaibua hisia za ubaguzi dhidi yake.
Ukosoaji wenye sura niliyoitaja unaiweka nchi njia panda, kwani kura yoyote ya kumpinga Rais itaweza kuhusishwa na hisia za ubaguzi. Ingawa ushindi wa Rais Samia kwa hali ya kisiasa ilivyo upo dhahiri, na bila shaka CCM wamejipanga kumpigania, ukubwa wa ushindi wake utakuwa ni ujumbe wa uimara wa muungano wetu.
Chao chao chetu pia chao, hii haikubaliki kabisa. Tanganyika tunataka Rais Mtanganyika .Mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza huko. Hili halikubaliki
MamaSamia2025 ni sadist, anauchukia sana Ukristo na Wakristo Kwa ujumla wake. Amemtesa Father Kitime na sasa kahamia Kwa Gwajima na kanisa lake, kisa tu, kaambiwa akomeshe utekajiMoja ya hotuba maarufu sana za baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano.
Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti wamekuwa wakimtaja kama mzanzibari.
Ielewe kuwa Rais Samia maadam ni mtumishi wa Watanzania hawezi kukwepa kukosolewa, kushashauriwa na hata kupongezwa na waajiri wake. Lakini katika nchi iliyokwisha vuka viunzi vya ukabila, inashangaza kuona ukosoaji dhidi yake unapoambatanishwa na uzawa wake. Tabia hii kwa mujibu wa Mwl. Nyerere ni ukaburu, na inaibua hisia za ubaguzi dhidi yake.
Ukosoaji wenye sura niliyoitaja unaiweka nchi njia panda, kwani kura yoyote ya kumpinga Rais itaweza kuhusishwa na hisia za ubaguzi. Ingawa ushindi wa Rais Samia kwa hali ya kisiasa ilivyo upo dhahiri, na bila shaka CCM wamejipanga kumpigania, ukubwa wa ushindi wake utakuwa ni ujumbe wa uimara wa muungano wetu.
Samia ni adui wa Tanganyika na pia ni adui wa Ukristo.MamaSamia2025 ni sadist, anauchukia sana Ukristo na Wakristo Kwa ujumla wake. Amemtesa Father Kitime na sasa kahamia Kwa Gwajima na kanisa lake, kisa tu, kaambiwa akomeshe
Au ndo anatumia fursa kimya kimya kulipiza kisasi na yalofanywa kule Mwembechai na kule msikiti wa mtoro enzi ya bwan yuleMamaSamia2025 ni sadist, anauchukia sana Ukristo na Wakristo Kwa ujumla wake. Amemtesa Father Kitime na sasa kahamia Kwa Gwajima na kanisa lake, kisa tu, kaambiwa akomeshe utekaji
Na sisi wahehe tunataka raisi MheheChao chao chetu pia chao, hii haikubaliki kabisa. Tanganyika tunataka Rais Mtanganyika .
Hii inaweza kuwa kero ya muungano lakini ikitumika kuwa kigezo cha kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tutakuwa tumeingia rasmi kwenye ukaburu. Rai yangu ni kuwa tushughulike na kero za muungano bila kuitumbukiza nchi kwenye shimo la ubaguzi.Mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza huko. Hili halikubaliki
Amen.Chao chao chetu pia chao, hii haikubaliki kabisa. Tanganyika tunataka Rais Mtanganyika .
Vijana hawa wengi wao wanaongea kwa mihemko,Hii inaweza kuwa kero ya muungano lakini ikitumika kuwa kigezo cha kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tutakuwa tumeingia rasmi kwenye ukaburu. Rai yangu ni kuwa tushughulike na kero za muungano bila kuitumbukiza nchi kwenye shimo la ubaguzi.