Uchaguzi wa Spika huenda usifanyike, kesi ya Mbatia juu ya ukiukwaji wa Katiba katika kupatikana Spika mpya inaanza kusikilizwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
IMG_20220125_050615.jpg
 
Attachments

Huenda usifanyike?!

LAZIMA ufanyike kwa sababu, Katiba ya JMT Ibara ya 84(8) inasema:-
Hakuna shughuli yoyote itakayotekelezwa katika Bunge (isipokuwa uchaguzi wa Spika) wakati wowote ambao kiti chaSpika kitakuwa ki wazi.
Kwahiyo there's no way shughuli za bunge zitasimama eti kisa Mbatia kafungua kesi wakati solution ni kuisikiliza sauti, na watakachofanya mahakama ni kujenga hoja kwamba kesi haina msingi, kwahiyo uchaguzi uendelee!!
 
Vipi kama kesi ikisikilizwa na ikaonekana katiba ilikiukwa namna Spika alivyojiuzulu? Maana unaaza kutoa majibu kabla hata kesi haijasikilizwa.
Kila nikisoma katiba sioni popote ilipokiukwa, nami ni msomaji mzuri sana wa katiba, and I know how to read and interpret it!!

Lakini hata ikionekana imekiukwa, shughuli za nchi LAZIMA ziendelee!! Na shughuli za nchi haziwezi kuendelea pasipo na bunge hasa ukizingatia tunaelekea msimu wa Bunge la Bajeti, kwahiyo kesi itatupwa tu!
 
Bunge ni mhimili, kufuatia kutokuwepo checks and balance, mahakamani yetu sio tuu haita entertain hiyo kesi, bali haita thubutu hata to summon the legistlature with a court summons, hata Bunge livunje vipi katiba!.
Hivyo mchakato wa kukamilisha tuu taratibu za kumthibitisha Spika Tulia utaendelea as if nothing happened.

Rejea
P
 
Kujaribu kufanya separation of powers katika nchi ya Tanzania is akin to trying to separate individual contents za viungo, vikolezo, chumvi na kadhalika chunguni, baada ya mboga kupikwa. IMPOSSIBLE!
 
Kila nikisoma katiba sioni popote ilipokiukwa, nami ni msomaji mzuri sana wa katiba, and I know how to read and interpret it!!

Lakini hata ikionekana imekiukwa, shughuli za nchi LAZIMA ziendelee!! Na shughuli za nchi haziwezi kuendelea pasipo na bunge hasa ukizingatia tunaelekea msimu wa Bunge la Bajeti, kwahiyo kesi itatupwa tu!
Kusoma wengi wanajua, tatizo ni kuelewa kilichokusudiwa. Kuna mambo mawili yaliyokosewa:

1) Spika anayejiuzulu atalitaarifu Bunge

2) Kuna watu ambao hawaruhusiwi kugombea nafasi ya spika wakiwa bado kwenye nafasi zao, naibubspika ni mmojawapo.
 
Huenda usifanyike?!

LAZIMA ufanyike kwa sababu, Katiba ya JMT Ibara ya 84(8) inasema:-

Kwahiyo there's no way shughuli za bunge zitasimama eti kisa Mbatia kafungua kesi wakati solution ni kuisikiliza sauti, na watakachofanya mahakama ni kujenga hoja kwamba kesi haina msingi, kwahiyo uchaguzi uendelee!!
Hujamuelewa mtoa muda.

Kiutendaji haijakaa hivyo. I am sure pamoja na Mbatia kuhoji uhalali wa mchakato wa kumpata spika kwenye kesi ya msingi, lazima atakuwa amefungua na kesi ndogo ya kuomba zuio la muda la mchakato huo kuendelea kufanyika (temporary injunction).

Naomba kubakia.
 
Hakuna shughuli zozote za nchi hii zinategemea bunge hilo bunge kibogoyo, labda kama ni kufuata formalities tu. Lakini kila kitu huwa kinafanywa na serikali, hilo bunge ni rubber stamp tu.
nikisoma katiba sioni popote ilipokiukwa, nami ni msomaji mzuri sana wa katiba, and I know how to read and interpret it!!

Back
Top Bottom