Still wata-fasta track ili kutolea uamuzi hilo pingamizi hili hatimae wapate fursa ya ku-deal na kesi ya msingi!Hujamuelewa mtoa muda.
Kiutendaji haijakaa hivyo. I am sure pamoja na Mbatia kuhoji uhalali wa mchakato wa kumpata spika kwenye kesi ya msingi, lazima atakuwa amefungua na kesi ndogo ya kuomba zuio la muda la mchakato huo kuendelea kufanyika (temporary injunction).
Naomba kubakia.
Ndo hizo hizo formalities mzee! Na kwavile hapa tunazungumzia bunge, hizo shughuli za nchi ni zile zinazoendelea bungeni na sio pengine popote!!Hakuna shughuli zozote za nchi hii zinategemea bunge hilo bunge kibogoyo, labda kama ni kufuata formalities tu. Lakini kila kitu huwa kinafanywa na serikali, hilo bunge ni rubber stamp tu.
Tangu lini?Mahakama ni chombo huru.
Ndugai anatumika kuwapotosha Wananchi wasiosoma katikati ya mistari.Mtindo huu unaanza kuzoeleka sasa,alianza Profesa wa uchumi.Unajiuzulu halafu unarejea kwa sababu utaratibu wa kujiuzulu ulikiukwa!Ukimalizika uchaguzi wa spika unafuata uchaguzi wa Naibu Spika baada ya utaratibu wa uteuzi wa mgombea spika umekiukwa.Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.View attachment 2094670
Ndo hizo hizo formalities mzee! Na kwavile hapa tunazungumzia bunge, hizo shughuli za nchi ni zile zinazoendelea bungeni na sio pengine popote!!
Kwahiyo bunge liwe kibogoyo au vinginevyo, ni LAZIMA waendeshe shughuli zao hivyo hivyo! Ni ukweli mchungu ambao hatuna budi kuumeza kuliko kujipa matumaini fake!
Kesi za kikatiba,nakumbuka Mtikila alikuwa anashinda Sana,halafu kinachofuata ni hakuna.Ni Sawa na kushinda mechi ya fainali,halafu kombe linarudi tena ofisini Kwa waandaaji wa mchezoMuhimili wa mahakama ulishajifia kitambo sana hapa TZ.
Usitegee chochote cha maana kutoka kwa jaji atakayehusika na kesi hii ys kikatiba.
Kanunue uhuru na mzalendoRAIA mwema gazeti la udaku sinunui kabisa Siku hizi
Uchaguzi wa Spika utafanyika kwa sababu kesi aliyopeleka mahakamani Mh. Mbatia , ni ya kumtaka Spika aliyepita ajiuzulu kkwa utaratibu. Mh, Mbatia si kwamba anahitaji Spika aliyepita arudi madarakani, hapana bali anamtaka ajiuzulu kwa kufuata utaratibu kama ambavyo Mh. Mbatia anavyodhani kuwa ni sahihi. Sasa hapa kuna hoja gani ya kuzuia uchaguzi usifanyike?Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.View attachment 2094670
Uchaguzi wa Spika utafanyika kwa sababu kesi aliyopeleka mahakamani Mh. Mbatia , ni ya kumtaka Spika aliyepita ajiuzulu kkwa utaratibu. Mh, Mbatia si kwamba anahitaji Spika aliyepita arudi madarakani, hapana bali anamtaka ajiuzulu kwa kufuata utaratibu kama ambavyo Mh. Mbatia anavyodhani kuwa ni sahihi. Sasa hapa kuna hoja gani ya kuzuia uchaguzi usifanyike?
Mh. Mbatia hajapeleka mahakamani shauri la kuzuia uchaguzi wa Spika usifanyike na hivyo uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa.
Kwa hiyo mahakama watajenga hoja kwamba hawawezi kuingilia maswala ya mhimili mwingine, siyo? vipi swala la kuvunja katiba.....Bunge ni mhimili, kufuatia kutokuwepo checks and balance, mahakamani yetu sio tuu haita entertain hiyo kesi, bali haita thubutu hata to summon the legistlature with a court summons, hata Bunge livunje vipi katiba!.
Hivyo mchakato wa kukamilisha tuu taratibu za kumthibitisha Spika Tulia utaendelea as if nothing happened.
Rejea
PNani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth!
Wanabodi, Leo Tarehe, 26/11/2014 ni siku ya kihistoria kwa taifa letu la Tanzania, kwa sababu siku hii, inaanza kwa mtanange muhimu kuliko hata mjadala wa katiba, huu ni mtanange wa kupimana ubavu kati ya vyombo vikuu viwili vya Dola, Bunge, na Mahakama, Nani Zaidi?!. Bunge limetangaza...www.jamiiforums.com
Wabongo wamepinda
Hayo maamuzi ni muhimu sana yanajenga precedent na yanatumika kwenye law reports.Kesi za kikatiba,nakumbuka Mtikila alikuwa anashinda Sana,halafu kinachofuata ni hakuna.Ni Sawa na kushinda mechi ya fainali,halafu kombe linarudi tena ofisini Kwa waandaaji wa mchezo
Sawa. Nakushauri usinunue gazeti lolote lile kwa kuwa unapoteza pesa yako bure.RAIA mwema gazeti la udaku sinunui kabisa Siku hizi
A country in utopia? No. It is the drunken leadership!!!Nchi ya kusadikika
Nilisoma kitabu enzi hizo leo nimeigundua nchi hiyo Mungu niongezee siku nione mengi!!!
Haiwezi kutokea. Kwasabb Kwa kufanya hivyo mahakama itakuwa imemchafua rais wa nchi na mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi taifa kwa "kubariki" mchakato batili.Vipi kama kesi ikisikilizwa na ikaonekana katiba ilikiukwa namna Spika alivyojiuzulu? Maana unaaza kutoa majibu kabla hata kesi haijasikilizwa.