Mnisamehe nashindwa kuleta update toka humu mjengoni, nimekaa angle mbaya ila tv zote ziko live.
ni ushabiki lakini jamani marando anafaa kuliko huyo headmistress
Ahsante mkuu Nicky82, uko fast mpaka raha
umenichekesha kweli yaaani!!Wamasai akili zao kama ng'ombe tu....anapokunya na kukojoa ndipo anapolala
Ndiyo akili ya mtu kama Ole Sendela
Shukrani mkuu, ila ukifanikiwa tufahamishe japo kwa uchache yale ambayo utagundua hayatarushwa ktk TelevisheniMnisamehe nashindwa kuleta update toka humu mjengoni, nimekaa angle mbaya ila tv zote ziko live.
Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.
.Olesendeka! Mh Huyu Jamaa mbona anazeeka Vibaya
upigaji wa kura rahisi tu.
unaweka vema kwa yule umtakaye awe spika.
Naona ndo wanakusanya sasa zile karatasi