mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Zito ana ujumbe wako
Tatizo lako unasikiliza maneno ya mitaani bila ushahidi wowote, ulipaswa kuonyeshwa hizo kura feki ambazo zimekamatwa katika masanduku ya kupigia kura, vyama husika vilipaswa kutoa ushahidi usiokua na shaka kwa kuonyesha tukio zima la kukamtwa hizo kura feki kwa kuambatanisho video, kama ambavyo wanaonyesha wanapopigwa mabomu na polisi.