Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

Tofauti ya karatasi za NEC na hizo zilizokamatwa ni IPI?
Walizipata ile siku walipewa karatasi za mfano ili kuona namna zitakavyokua, walipewa copies nyingi tu, wakaenda kuzitoa photocopies na kuzijaza kisha maigizo yakaanza

Mbona simple tu
 
Kwanini hao ccm wenyewe wasifate huo UTAWALA WA SHERIA?
Hahahaha, umeishiwa wewe. Siku zingine wacha kuparamia mambo bila kufikiria kwa undani. Mwanzo ulisema kwanini NEC haijitetei, umewekewa ushahidi jinsi NEC ilivyojieleza unarukia CCM. Muhimu ni kwamba kuna jambo jipya umejifunza.
 
Madhara ya kupiga Kura analog way

Hizi WIZI zilifanyika Kenya 2007 mwisho

ATleast IBA Kura kupitia technology kama vile BIDEN na uhuru wanafanya than hii style ya zamani.
 
HAKUNA NEC walichokisema kikaeleweka.

Nimekuuliza tofauti ya karatasi za kura feki na za NEC NI ipi umejibu?
Hahahaha, umeishiwa wewe. Siku zingine wacha kuparamia mambo bila kufikiria kwa undani. Mwanzo ulisema kwanini NEC haijitetei, umewekewa ushahidi jinsi NEC ilivyojieleza unarukia CCM. Muhimu ni kwamba kuna jambo jipya umejifunza.
 
Madhara ya kupiga Kura analog way,
Hizi WIZI zilifanyika Kenya 2007 mwisho,
ATleast IBA Kura kupitia technology kama vile BIDEN na uhuru wanafanya than hii style ya zamani
Kwahiyo Raila alivyolalamika kwamba ameibiwa kura alikua anazungumzia kura za nchi gani?. Hivi iweje kila uchaguzi lazima mnachinjana kama wanyama wa porini?. Hivi wakenya lini mtastaarabika na kuishi kama "Civilised people without killing each other?"
 
HAKUNA NEC walichokisema kikaeleweka.
Nimekuuliza tofauti ya karatasi za kura feki na za NEC NI ipi umejibu?
Wewe ulisema kwamba NEC yenyewe haijajitetea badala yake mimi ndio ninatetea, nimekuwekea tamko la NEC wakijibu hizo tuhuma, sasa unajaribu kuhamisha magoli, umegundua ni jinsi gani kichwani haupo sawa?
 
Walichokisema NEC NI kuwa HAKUNA KURA FEKI zilizokamatwa?.
Kipi KINGINE walichokisema?.
Haya wamewakamata watu wangapi!

Unaweza kukumbuka uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2015 ulirudiwa kwa sababu gani?
Wewe ulisema kwamba NEC yenyewe haijajitetea badala yake mimi ndio ninatetea, nimekuwekea tamko la NEC wakijibu hizo tuhuma, sasa unajaribu kuhamisha magoli, umegundua ni jinsi gani kichwani haupo sawa?
 
Walichokisema NEC NI kuwa HAKUNA KURA FEKI zilizokamatwa?.
Kipi KINGINE walichokisema?.
Haya wamewakamata watu wangapi!
Sasa hao waliozikamata waulize kama waliwasiliana na NEC na kuripoti hilo tukio ili kuthibitisha hizo tuhuma zao kama sheria za uchaguzi zinavyosema, sasa kama hawakufuata taratibu za uchaguzi katika kuripoti matukio kama hayo, wewe utapata wapi ushahidi wa kuaminika kwamba hayo matukio ni matukio kweli na sio "stage managed event".

Hao jamaa zako ni matapeli, waneshindwa wanaanza kutafuta visingizio vya hovyo, Mbowe ameshindwa kwa tofauti ya kura zaidi ya elfu 40, hatujasikia akilalamika lolote kuhusu kuibiwa kura, badala yake anakimbilia kura za urais kujificha chini ya kivuli cha kura za rais, kwanini asikate rufaa za kura za ubunge ili kuonyesha mapungufu ya kisheria na taratibu za uchaguzi yaliyotokea majimboni ili mahakama itengue?
 
Ebu Soma hayo maelezo kwanza.

Hivi MTU akikamatwa na mitihani feki.kumbe walimu uwa wanawasiliana na NECTA KWANZA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
kwamba wamkamate au wamuachie

Screenshot_20201029-061237.jpg
 
Ebu Soma hayo maelezo kwanza.

Hivi MTU akikamatwa na mitihani feki.kumbe walimu uwa wanawasiliana na NECTA KWANZA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
kwamba wamkamate au wamuachieView attachment 1620851

Hahahaha camera ya kupiga kura fake wamepata ila camera ya kumpiga aliekamatwa na hixo kura na mchakato wa kumdhibiti na kumpeleka kwa police waliikosa? 😅😅😅😅

Muwe mnatumia akili kidogo basi kwenye haya maigizo yenu.
 
Hakuna cha kuiga hapo. Tutafuta mkondo mwengine sio huu wenyu. Huu wenyu haukuwa uchaguzi. Huyo Magufuli anataka kuishi echo chamber, sauti yake tu ndio anataka kusikia alafu ni wa kuzima mtandao. Anajua kuwa mtandao ni kitengo kikuu cha biashara siku hizi kweli?
 
Hakuna damu iliyomwagika, ingakuwa Kenya zaidi ya watu 100 wangeuliwa kwa risasi.
 
Damu iliyo mwagika ni mingi sana hata kama ni mtu moja ila tunajua ni wengi waliodhulumiwa
Kama mlivyosema kwamba Hospitali za Tanzania zimezidiwa na wagonjwa "out of Jelous" bila kuwa na ushahidi wowote, leo ukweli unajionyesha wenyewe na dunia nzima inaona.

Zaidi ya wivu kutaka Tanzania ionekane ni kundi moja na Kenya nchi isiyokua na amani na utulivu wa kitaifa, hamna ushahidi wowote wa kuonyesha.
 
Back
Top Bottom