Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

Hongereni majirani. 😎
2606611_1604231861579.png
Nilidhani na uchumi wetu nao kaukajaga hapo chini. Actually hivo vitu hatuvihitaji kwa sasa. Ngoja tukuze uchumi kwanza. Mengine baadae sana... vipaumbele vyetu kwanza vitimie then others will follow. "Haki na Wajibu"
 
Hii ni kuthibitisha kwamba Tanzania inaendelea kuwa mfano katika kufanya uchaguzi kwa amani na utulivu.

Wakati Uganda tayari watu watatu wameshauliwa na polisi mwanzoni kabisa mwa kampeni, Tanzania tulishuhudia wagombea urais wakifanya kampeni zao bila hata mtu mmoja kuuliwa muda wote. Hongera sana Tanzania
 
Back
Top Bottom