Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

Zito ana ujumbe wako
 
Ebu Soma HAPO.
polisi wamesemaje walipopelekewa mtuhumiwa wa kura feki?
 
Ebu Soma HAPO.
polisi wamesemaje walipopelekewa mtuhumiwa wa kura feki?View attachment 1620144
Wacha kupoteza muda wako kwa kuweka vibandiko vya hovyo, hawa walio wengi ni wanasheria wanajua hatua zote za kuchukua kunapotokea jinai, waache uzandiki wao. Leo unatumia tweets zao kuthibitisha kama ni kweli, huyu Zinto si ndiye aliyetuaminisha kwamba Tanzania hali ya Corona ni mbaya sana? Huyu alikua akihojiwa BBC na kusema serikali inaficha wagonjwaa lakini madaktari na manesi wanekufa kwa wingi?, Zitto huyu huyu kabla hata Jua halijazama umeanza kumuamini?

Kaka hata Lowassa aliposhindwa alidai kuibiwa kura, huo ni wimbo wa kawaida kwa aliyeshindwa, ni kama kulalamika kwamba maisha ni magumu, huo ni msemo wa kawaida hata Bakhressa na Rostam Aziz lazima watasema hivyo, kwasababu ni sifa mbaya kusema wewe ni tajiri mbele ya jamii, "don't take them serious "
 
Hivi NI kweli hauuoni huu wizi wa kura
Au ndo ukipenda chongo unaita kengeza?.
Ni kweli hauoni huo wizi wa kura na kura feki?
 
Hivi NI kweli hauuoni huu wizi wa kura
Au ndo ukipenda chongo unaita kengeza?.
Ni kweli hauoni huo wizi wa kura na kura feki?
nani hapa Tanzania nwenye jukumu kisheria kuthibitisha kama kweli kosa la jinai limetendeka kama sio mahakama? Punguza ushabiki usiokua na maana, kwanini umeamua kusikiliza na kushabikia upande mmoja?, wacha kujidhalilisha kiasi hicho watu watakudharau

Mtu anatoa tuhuma za kuibiwa, anayetuhumiwa anasema sio kweli, wewe unakubaliana moja kwa moja na upande mmoja, hiyo ndio demokrasia unayoipigia kelele?.. Inapaswa aliyeibiwa apeleke kesi mahakamani ili wakachunguze na kugundua ukweli na kutoa haki, sasa wewe bila hata kupepesa macho umeshatoa hukumu, wewe umejipa sifa ya mahakama ya uchaguzi? Wacha ushabiki usiokua na maana huo.
 
Watuhumu wao, watoe hukumu wao. Halafu haohao utakuta wanadai Tume ya Uchaguzi huru. Hii ni 'double-standard' kiwango cha bahari. Ndiyo walewale wanaosema Mwalimu Nyerere hakuwa anawakosoa wafanyakazi na watumishi kwa ukali na hadharani, ihali yeye mwenyewe ni kinara wa uzushi, uongo, kashfa, kupinga kila kitu na kuwatukana hadharani jukwaani polisi, Mkuu wa Nchi, serikali na kila mtu asiyekubaliana na sera & ushari wake.
 
Miaka mia moja ijayo hawawezi kuongoza nchi hawa jamaa, hovyo sana hawa watu.
 
Sasa Kati ya upinzani na watu wa ccm NI nani Wana matatizo ya AKILI?
Unadhani kutetea uovu ndo KUWA NA AKILI?
 
.
Pekeni mahaba pembeni kwenye ukweli semeni ukweli.

Wenye mamlaka NEC wanashindwa kujitetea iweje wewe uwateteee useme hizo kura zimetengenezwa na chadema?
 
Pekeni mahaba pembeni kwenye ukweli semeni ukweli.
Wenye mamlaka NEC wanashindwa kujitetea iweje wewe uwateteee useme hizo kura zimetengenezwa na chadema?
Hivi maana ya kuwepo kwa utawala wa sheria ni nini?, kwanini tunatumia pesa nyingi kuwalipa majaji, mahakimu na mawakili na kujenga mahakama?.

Tuache basi ili kila mtu ajiamulie vile anavyoona yeye kwamba ni sahihi. Wewe umeshaona na kuamini kwamba huo ni uovu kwahiyo lazima iwe ni kweli unachoamini wewe, kila mtu aachwe aamue vile aonavyo yeye ni sawa bila kuwepo kwa mahakama kuweza kuchunguza kwa undani na kujiridhisha.

Hivyo ndivyo mnavyotaka kuiendesha hii nchi pindi umtakaposhinda uchaguzi?, kwamba mtu akihisi na kuamini kwamba jambo fulani limefanyika, basi hakuna tena kwenda mahakamani kuthibitisha na kuamuliwa na mahakama. Mtasubiri hadi meno yaote nywele, hakuna mtu atawapigia kura vichaa wa aina yako.
 
Pekeni mahaba pembeni kwenye ukweli semeni ukweli.
Wenye mamlaka NEC wanashindwa kujitetea iweje wewe uwateteee useme hizo kura zimetengenezwa na chadema?
NEC haijajitetea vipi wakati ilishatoa tamko na wananchi wote wenye akili walisikia na kuelewa wakiwemo hao wajinga waliotoa hizo shutuma.

 
Kwanini hao ccm wenyewe wasifate huo UTAWALA WA SHERIA?
 
Tofauti ya karatasi ya NEC na hizo zilizokamatwa ni IPI?
Ndio sababu nikakuambia akili zako hazipo sawa wewe, NEC haijajitetea vipi wakati ilishatoa tamko na wananchi wote wenye akili walisikia na kuelewa wakiwemo hao wajinga waliotoa hizo shutuma.
 
Hayo yote tisa, kumi walipanga makusudi mazima kuuvuruga uchaguzi. Period. Ndiyo maana hoja yao kuu ni KURA FEKI. Na bila shaka majimbo kama Kawe yalichaguliwa kuwa sampuli ya figisu yao bandia.
 
Kama sio karatasi za NEC zimetoka wapi?.
Je NEC wanajua kuwa kuna kura zimekamatwa?
Walizipata ile siku walipewa karatasi za mfano ili kuona namna zitakavyokua, walipewa copies nyingi tu, wakaenda kuzitoa photocopies na kuzijaza kisha maigizo yakaanza.

Mbona simple tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…