mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Walizipata ile siku walipewa karatasi za mfano ili kuona namna zitakavyokua, walipewa copies nyingi tu, wakaenda kuzitoa photocopies na kuzijaza kisha maigizo yakaanza
Mbona simple tu
Jaji Semistocle kashadadavua kwenye video hapo juu ππTofauti ya karatasi za NEC na hizo zilizokamatwa ni IPI?
Jaji Semistocle kashadadavua kwenye video hapo juu [emoji115][emoji115]
Hahahaha, umeishiwa wewe. Siku zingine wacha kuparamia mambo bila kufikiria kwa undani. Mwanzo ulisema kwanini NEC haijitetei, umewekewa ushahidi jinsi NEC ilivyojieleza unarukia CCM. Muhimu ni kwamba kuna jambo jipya umejifunza.Kwanini hao ccm wenyewe wasifate huo UTAWALA WA SHERIA?
Hahahaha, umeishiwa wewe. Siku zingine wacha kuparamia mambo bila kufikiria kwa undani. Mwanzo ulisema kwanini NEC haijitetei, umewekewa ushahidi jinsi NEC ilivyojieleza unarukia CCM. Muhimu ni kwamba kuna jambo jipya umejifunza.
Kwahiyo Raila alivyolalamika kwamba ameibiwa kura alikua anazungumzia kura za nchi gani?. Hivi iweje kila uchaguzi lazima mnachinjana kama wanyama wa porini?. Hivi wakenya lini mtastaarabika na kuishi kama "Civilised people without killing each other?"Madhara ya kupiga Kura analog way,
Hizi WIZI zilifanyika Kenya 2007 mwisho,
ATleast IBA Kura kupitia technology kama vile BIDEN na uhuru wanafanya than hii style ya zamani
Wewe ulisema kwamba NEC yenyewe haijajitetea badala yake mimi ndio ninatetea, nimekuwekea tamko la NEC wakijibu hizo tuhuma, sasa unajaribu kuhamisha magoli, umegundua ni jinsi gani kichwani haupo sawa?HAKUNA NEC walichokisema kikaeleweka.
Nimekuuliza tofauti ya karatasi za kura feki na za NEC NI ipi umejibu?
Wewe ulisema kwamba NEC yenyewe haijajitetea badala yake mimi ndio ninatetea, nimekuwekea tamko la NEC wakijibu hizo tuhuma, sasa unajaribu kuhamisha magoli, umegundua ni jinsi gani kichwani haupo sawa?
Wewe ulisema kwamba NEC yenyewe haijajitetea badala yake mimi ndio ninatetea, nimekuwekea tamko la NEC wakijibu hizo tuhuma, sasa unajaribu kuhamisha magoli, umegundua ni jinsi gani kichwani haupo sawa?
Sasa hao waliozikamata waulize kama waliwasiliana na NEC na kuripoti hilo tukio ili kuthibitisha hizo tuhuma zao kama sheria za uchaguzi zinavyosema, sasa kama hawakufuata taratibu za uchaguzi katika kuripoti matukio kama hayo, wewe utapata wapi ushahidi wa kuaminika kwamba hayo matukio ni matukio kweli na sio "stage managed event".Walichokisema NEC NI kuwa HAKUNA KURA FEKI zilizokamatwa?.
Kipi KINGINE walichokisema?.
Haya wamewakamata watu wangapi!
Sasa hao waliozikamata waulize kama waliwasiliana na NEC na kuripoti hilo tukio ili kuthibitisha hizo tuhuma zao kama sheria za uchaguzi zinavyosema, sasa kama hawakufuata taratibu za uchaguzi katika kuripoti matukio kama hayo, wewe utapata wapi ushahidi wa kuaminika kwamba hayo matukio ni matukio kweli na sio "stage managed event".
Hao jamaa zako ni matapeli, waneshindwa wanaanza kutafuta visingizio vya hovyo, Mbowe ameshindwa kwa tofauti ya kura zaidi ya elfu 40, hatujasikia akilalamika lolote kuhusu kuibiwa kura, badala yake anakimbilia kura za urais kujificha chini ya kivuli cha kura za rais, kwanini asikate rufaa za kura za ubunge ili kuonyesha mapungufu ya kisheria na taratibu za uchaguzi yaliyotokea majimboni ili mahakama itengue?
Ebu Soma hayo maelezo kwanza.
Hivi MTU akikamatwa na mitihani feki.kumbe walimu uwa wanawasiliana na NECTA KWANZA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
kwamba wamkamate au wamuachieView attachment 1620851
Hahahaha camera ya kupiga kura fake wamepata ila camera ya kumpiga aliekamatwa na hixo kura na mchakato wa kumdhibiti na kumpeleka kwa police waliikosa? π π π πEbu Soma hayo maelezo kwanza.
Hivi MTU akikamatwa na mitihani feki.kumbe walimu uwa wanawasiliana na NECTA KWANZA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
kwamba wamkamate au wamuachieView attachment 1620851
[emoji23][emoji23][emoji23] uchokozi huuWataukumbuka huu uzi 2022, sasa hivi wacha waupuuze.
Hakuna damu iliyomwagika, ingakuwa Kenya zaidi ya watu 100 wangeuliwa kwa risasi.Hakuna cha kuiga hapo. Tutafuta mkondo mwengine sio huu wenyu. Huu wenyu haukuwa uchaguzi. Huyo Magufuli anataka kuishi echo chamber, sauti yake tu ndio anataka kusikia alafu ni wa kuzima mtandao. Anajua kuwa mtandao ni kitengo kikuu cha biashara siku hizi kweli?
Damu iliyo mwagika ni mingi sana hata kama ni mtu moja ila tunajua ni wengi waliodhulumiwa.Hakuna damu iliyomwagika, ingakuwa Kenya zaidi ya watu 100 wangeuliwa kwa risasi
Kama mlivyosema kwamba Hospitali za Tanzania zimezidiwa na wagonjwa "out of Jelous" bila kuwa na ushahidi wowote, leo ukweli unajionyesha wenyewe na dunia nzima inaona.Damu iliyo mwagika ni mingi sana hata kama ni mtu moja ila tunajua ni wengi waliodhulumiwa