Uchaguzi wa Tanzania umeporwa

Uchaguzi wa Tanzania umeporwa

Mkuu wa Mkoa huo, Godfrey Zambi, ameyaeleza hayo mjini Lindi, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na uharibifu uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 28, mwaka huu.

Watu hao wanadaiwa kufanya fujo kwa sababu ya kutoridhishwa na mwenendo wa uchaguzi ulivyokwenda, kutokana na kile kinachodaiwa kuhujumiwa, ikiwamo kuzuiliwa mawakala kuingia vituoni, ongezeko la vituo hewa vilivyo nje ya mfumo na vitambulisho vya kupigia kura.

Madai mengine ni kubadilishiwa matokeo ya ushindi ya mgombea aliyeshinda kupewa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Zambi alisema katika fujo hizo, magari zaidi ya saba kati ya hayo mawili ya polisi, majengo ya serikali pamoja na binafsi tisa na pikipiki moja, yaliharibiwa kwa kuchomwa moto.

Zambi alizitaja wilaya zilizoathirika kutokana na uharibifu huo ni Liwale, Nachingwea, Kilwa na Lindi katika Halmashauri ya Mtama.

Amesema Liwale magari zaidi ya saba, likiwamo la polisi na binafsi yaliyokodiwa kusaidia uchaguzi huo, yaliharibiwa, na kwamba nyumba mbili na magari matatu ya Mbunge mteule, Mohamed Kuchauka.

Imo pia zahanati ya Diwani mteule Kata ya Liwale Mjini, Omari Mkoyage na nyumba moja ya askari polisi.

Zambi alisema wilayani Nachingwea, magari matatu na nyumba, mali za Diwani mteule Ahamadi Makoroganya, gari moja la polisi na nyumba zimechomwa moto, huku jengo la Mahakama Wilaya limenusurika licha ya kuwamo kwenye orodha ya kutaka kuichoma.

Kwa mujibu wa Zambi, Halmashauri ya Mtama, watu hao walichoma moto majengo mawili, ikiwamo ofisi ya muda anayoitumia Mkurugenzi Mtendaji, Samuel Waryoba, Ofisi ya Serikali ya Kata ya Mtene na jengo la saluni la mtendaji wa kata hiyo.

Alisema Jeshi la Polisi linawashikilia watu kadhaa kwa ajili ya mahojiano, kwa lengo la kuwabaini waliohusika.

CHANZO: Nipashe | Mwandishi - Said Hamdani
 
Orodha ya viongozi waliotumia JPM salam za pongezi ni ndefu.

Geza was Pro-Lowassa in 2015.

I have always been mesmerized by how he changed the goal posts and carried on with his hoaxes in many of his posts on here as an ardent Magufuli supporter over the last five years.

But well, here we go! With some silly excuses of irregularities, their hatred for the man and their full colors are on display.
 
Kama Trump wanamwibia kura mchana kweupe Lissu ni nani abakie salama???
Tunasubiri tamko rasmi la Ubalozi wa Marekani juu ya election fraud na violence inayoendelea huko Marekani, Donald Trump anakataa matokeo kwa sababu ya wizi wa kurs🙂
 
Google search on news on Tanzania!
Screenshot_2020-11-12-16-10-35.png
Screenshot_2020-11-12-16-12-30.png


Screenshot_2020-11-12-16-14-07.png
 

Attachments

  • Screenshot_2020-11-12-16-12-08.png
    Screenshot_2020-11-12-16-12-08.png
    76.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-11-12-16-13-54.png
    Screenshot_2020-11-12-16-13-54.png
    82.4 KB · Views: 1
What are you trying to imply?

Hayo ni mdia zao na ni uamuzi wao kuandika chochote kama walivyoandika kua Saddam Husein alikua na WMD wakati si kweli.

What is your problem?
Mie nimejaribu kuangalia Google news za Tanzania nikapata hizo links!
 
Sasa kama anapendwa kihivyo mbona mzime mitandao hadi watu wanatumia VPN, mbona tunasoma mnavyotumia nguvu nyingi kulazimisha huo "upendo".

Mngeruhusu wanaompenda kwa dhati wampende na walio na matatizo naye wawe huru kujieleza. Tunasoma madudu mengi mnafanya, aisei kule Zanzibar ndio usipime, tunasoma watu wanavyouawa.

Naona hata kuhutubia ili mtoe shukrani imekua nongwa Uchaguzi 2020 - Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi
Kama mlivyosoma madudu mengi wakati wa janga la Corona, leo hii ukweli umejitokeza wazi, ni mtu mwemdawazimu pekee anayeweza kufikiri kwamba uchaguzi Tanzania umeporwa wakati kura zote za maoni zilizofanyika miezi miwili kabla ya uchaguzi zilionyesha wazi kwamba Magufuli atashinda kwa 84%, CCM 74% na ZANZIBAR 68%.

Sasa hata tafiti ta kitaalamu hamzikubali badala yake mnatumia ushahidi wa mgombea mmoja kuzomewa, au kuzuia mitandao ya kijamii kama kigezo cha kupinga matokeo na mwenendo wa uchaguzi.

Magufuli ana tatizo kubwa la kutopenda "Free press", hayo ni mapungufu yake ya kuzaliwa nayo, hata kabla ya uchaguzi amekua hivyo, iweje kuzuia mitandao kipindi cha uchaguzi kuhusishwe na uporaji wa uchaguzi?

Hakuna ushahidi wowote wa hujuma katika uchaguzi huu, tatizo ni kuzuia mitandao ya kijamii tu, kama alivyofanya kipindi cha Corona kuzuia kutangaza kwa maambukizi, lakini hiyo haikumzuia kufanikiwa kupambana na Corona na kuzishinda nchi zenye kutangaza kila siku.
 
Mkulu hili lisikupe shida. Hao mabeberu ndiyo kawaida yao kuzichafua nchi za Afrika. Huwezi kuta mazuri ya Afrika hata kidogo. Wao ni kuripoti negative news of Afrika.
Shida iliyopo ni kuwa media kubwa zote ni za kwao.
Sasa kuna uhusiano gani wa Lissu kuondoka nchini na matokeo ya uchaguzi uliopita?. Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi kutokana na misimamo yake mikali dhidi ya serikali, kama alivyoshambuliwa Dr. Ulimboka katika kipindi cha Kikwete.

Hii tabia ya kuwashambulia na kuwaumiza au kuwapoteza wapinzani ni mpya sana hapa Tanzania, ila hapo Kenya ni jambo la kawaida sana, ndio sababu hapa Tanzania linapigiwa kelele dunia nzima, ila likitokea Kenya, hakuna nchi yoyote itakemea kwasababu ni kawaida sana kwa Kenya.

Tundu Lissu anayo haki ya kuondoka nchini baada ya uchaguzi kwasababu, bado serikali inamuona kama adui, lakini hiyo haina uhusiano wowote na uchaguzi uliopita
 
Usitusemee..jisemee ww na tumbo lako. Kisa ww ni mtoto wa diwani unazan wote tunafanana. Kwa taarifa yako waponzani tanzania wapo wengi kulikonunavodhani. Shida nchi yetu waamuzi wa wengi ninwachache
Weka ushahidi kwamba wapinzani ni wengi.
 
Usitusemee..jisemee ww na tumbo lako. Kisa ww ni mtoto wa diwani unazan wote tunafanana. Kwa taarifa yako waponzani tanzania wapo wengi kulikonunavodhani. Shida nchi yetu waamuzi wa wengi ninwachache

Jisemee mwenyewe na ukawa wako kama nyie ni mapinzani. Wewe ni nani mpaka usimame juu ya mlima Kilimanjaro na kusema eti wapinzani ni wengi. Sasa kwa taarifa yako, usipende kusemea nafsi ya wengine. Semea ya kwako.
 
Back
Top Bottom