Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Wambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
 
Duniani kote mpira unapendwa na kuongozwa na watu wa aina hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kila kona hawajitambui mkuu, kama ulijua ni kwenye soka tu, nenda na kule kwenye siasa ndo utaugua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayai mi alinikera kuweka ile mirangi ya Chura FC a.k.a yebo yebo!!! Nikajua anaturudisha kwenye utawala wa Malinzi....

Asingekuwa Malinzi Simba msimu uliopita angekuwa bingwa...

Walace na wewe ukituletea utimutimu kwenye uongozi wako tutakuitia PCCB ukanyee kalai...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli asiyeijua njia hapotei

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…