Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani soka la Tz viongozi wanajuana. Nilijua hatafika popote[emoji15]Mnafatilia uchaguzi uko dodoma nasikia ALLY MAYAI Kashindwa uchaguzi..kuna kaukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kote mpira unapendwa na kuongozwa na watu wa aina hii.Huko Kwny mpira kuna watu wengi sana wasiojitambua kabisa, hasa wapiga kura, ni ngumu sana kutoka kwa aina hii. Nashauri uongozi huu wa TFF usiwe wa kupigia kura bali kuomba kazi kama wakurugenzi tu. Kuna wapuuzi wengi sana huko Kwny michakato ya kupiga kura ambao hata shule walikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ana ndioto ya Taifa starz kucheza kombe la DuniaWambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
Tanzania kila kona hawajitambui mkuu, kama ulijua ni kwenye soka tu, nenda na kule kwenye siasa ndo utauguaHuko Kwny mpira kuna watu wengi sana wasiojitambua kabisa, hasa wapiga kura, ni ngumu sana kutoka kwa aina hii. Nashauri uongozi huu wa TFF usiwe wa kupigia kura bali kuomba kazi kama wakurugenzi tu. Kuna wapuuzi wengi sana huko Kwny michakato ya kupiga kura ambao hata shule walikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gombeeni nyie huko kwenye vyama I'll mlete mabadiliko.Wapiga kura wachumia tumbo.
Mbona huko Mara alikochaguliwa hajafanya lolote kwenye soka? Mwenzie Mwakalebera kapambana Lipuli imepanda darajaWambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
Mpira unahitaji watu jamii ya WamburaWallace anaonekana mtu makini tatizo langu wingi wa kura kama influence kimtindo sema jamaa anaonekana ni mtu makini . Tatizo ni kwa wambura jamaa mjuaji sana naona kama mzinguaji
Kama hujui huko kwenye vyama vya wapiga uchaguzi wake wanawekwa mapandikizi na wagombea urais, muda ukifika mnaona haya mliyoyaona Leo.
Wewe ndo aina ya watu halisi wa mpira ninaowajua.Mtu apate ziro fomu 6 alafu asome Diploma??kwani mkuu mtu aliepata zero form six diploma hawezi soma???
Mkuu ni aibu
Yeye si alikuwa anataka mpira wake, Ndio amepewa sasa aondoke nao akacheze.Mbona walioshindwa kwa nafasi ya urais ni watano,kwanini ali mayay
Bless I
Alipata zero form 6, akarudi nyuma kuanza na Certificate then diploma halafu akaendelea mbele.Wewe ndo aina ya watu halisi wa mpira ninaowajua.Mtu apate ziro fomu 6 alafu asome Diploma??
Sent using Jamii Forums mobile app